DKT. KIRUSWA ATETA NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI WA MAREKANI
Marekani yavutiwa kuwekeza Madini Mkakati Tanzania
Naibu Waziri asema Tanzania mahali salama pa uwekezaji
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amekutana na kuzungumza na Ujumbe...
MKE WANGU AJUTA KUTOA SIRI BAADA YA DOZI
Naitwa Abbas kutoka Mombasa Kenya, katika ndoa yangu mke wangu alikuwa anatoa siri zetu za ndani na kuwaambia majirani hadi wengine wanakuja kuniambia wazi...
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KAHAAZI BUKOBA HATIANI KWA KUOMBA NA KUPOKEA HONGO.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imemhukumu Bw. NASWIRU MPENDEKELAKI, Mwalimu wa Shule ya Msingi Kahaazi na mmiliki wa Mpendekelaki stationary.
Mshitakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa...
AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MASHTAKA YA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA
Machi 12, 2024 Katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imefunguliwa kesi ya Jinai Namba (Cc.6600) dhidi ya Bw. BENJAMIN CHALRES CHUMA kwa mashtaka ya...
MSHAURI WA WAFANYABIASHARA (TCCIA ) – MANYARA HATIANI KWA KUGHUSHI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara imemhukumu Bw. RAMADHANI RASHID MSANGI ambaye ni Mshauri wa Wafanyabiashara mwajiriwa wa Chama cha wenye viwanda na kilimo Mkoa...
WATUMISHI WAWILI WA HALMASHAURI WATIWA HATIANI KWA KUOMBA NA KUPOKEA HONGO
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imewahukumu Bw. Nelson Mwakilasa ambaye ni msaidizi wa Mkuu wa Masoko na Felister Mwanisongole ambaye ni Askari Mgambo, wote...
GAVU: RAIS DK. SAMIA, DK. MWINYI WATAPEPERUSHA BENDERA YA CCM KATIKA UCHAGUZI MKUU WA...
*Asema wamefanya kazi kubwa, nzuri kutekeleza Ilani ya Uchaguzi 2020-2025
Kutokana na utekelezaji mzuri wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinzuri (CCM), Katibu wa...
MDAU WA MAENDELEO ALIYEJENGA ZAHANAT KIBOSHO AIKOSHA SERIKALI YA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)
Na Ashrack Miraji (Same) Kilimanjaro
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kilimanjaro, Patrick Boisafii amesema amefurahishwa na kitendo cha Joseph Mushi kuamua kumuunga...
HOSPITALI YA KUMBUKUMBU YA MWALIMU NYERERE KUTOA HUDUMA ZA KIBINGWA MAGONJWA YA MIFUPA NA...
Na Shomari Binda - Musoma
SERIKALI kupitia Wizara ya Afya imesema hospital ya Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere iliyopo mkoani Mara imetengwa kuwa hospital inayotoa huduma...