TAKUKURU YABAINI VIASHIRIA VYA RUSHWA KWENYE MIRADI YA MAENDELEO 1800 YENYE THAMANI YA...
MKURUGENZI wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana an Rushwa (Takukuru), Salum Hamduni amesema mwaka wa fedha 2022/2023 taasisi hiyo imebaini viashiria vya rushwa kwenye...
DKT. KIJAJI: WATANZANIA TUMIENI FURSA KUUZA BIDHAA UINGEREZA
Serikali imewashauri Watanzania kutumia fursa ya Mpango wa Biashara wa Nchi Zinazoendelea kwa kuhakikisha wanauza bidhaa kwa uadilifu na ubora katika soko la Uingereza...
TBS YAADHIMISHA SIKU YA VIWANGO AFRIKA NA KUTOA ZAWADI KWA WASHINDI WA MASHINDANO YA...
Na Mwandishi Wetu.
Shirika la Viwango Tanzania ( TBS ) , Leo Machi 28, 2024 limeadhimisha siku ya viwango Afrika na kutoa vyeti na zawadi...
TANZANIA YAKARIBISHA WAWEKEZAJI SEKTA YA NISHATI.
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesihi wawekezaji kutoka Mataifa mbalimbali kuwekeza katika sekta ya nishati nchini ikiwemo eneo la nishati safi ya...
DKT. TULIA AHIMIZA MAPAMBANO DHIDI YA MABADILIKO YA TABIANCHI NA KULINDA AMANI YA DUNIA
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wanachama wa...
RC MAKALA AKOSHWA NA UONGOZI WA CHATANDA JINSI UNAVYOJENGEA UWEZO WANAWAKE NA MAKUNDI MBALIMBALI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza CPA Amos Makala ameupongeza uongozi wa Mary Pius Chatanda, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania jinsi ambavyo...
TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA CHINA WAONESHA NIA YA KUWEKEZA
Na Magrethy Katengu
Tanzania imepokea Ugeni wa Jopo la Wataalamu likiwa limeambatana na Wawekezaji na Viongozi wa Serikali kutoka Jimbo la Changzhou Nchi China ambao...
WANAKIJIJI WAANZA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA DAVID MASSAMBA MEMORIAL KUSOGEZA ELIMU JIRANI
Na Shomari Binda-Musoma
WAKAZI wa Kijiji cha Kurwaki Kata ya Mugango wameanza ujenzi wa shule ya "David Massamba Memorial Secondary School" kusogeza elimu jirani.
Sekondari hii...
TANZANIA SEHEMU SALAMA YA KUWEKEZA – DKT. MPANGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini China na mataifa mengine kuwekeza nchini Tanzania...