MSAMA ATOLEA UFAFANUZI SAKATA LA KIWANJA KIGAMBONI
Mkurugenzi wa Msama Promotions Alex Msama ametoa ufafanuzi wa suala la umiliki wa kiwanja plot namba moja block No DSMT 1022673 kilichopo Kigamboni Kibada...
NCHIMBI MSIBANI KWA ASKOFU GACHUMA
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, amewasili wilayani Tarime, Mkoa wa Mara, kushiriki mazishi ya Askofu wa Kanisa...
RC MTANDA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA KWENYE IFTAR NA JAMII MKOA WA MARA
Na Shomari Binda - Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda amemwakilisha Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan kwenye iftar na jamii mkoa wa Mara.
Iftar hiyo...
UVCCM UBUNGO YAAHIDI KUTOA USHIRIKIANO KWA DC. MPYA
Baraza la Vijana wa Chama cha mapinduzi (UVCCM) limempongeza Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa chama hicho Dkt.Samia Suluhu Hassan...
KAYA 15 ZAKOSA MAKAZI ULANGA
Jumla ya kaya 15 zimekosa makazi kwasasa katika kata ya Ketaketa wilayani Ulanga kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha jambo lililopelekea mto Luhombero kujaa...
KAMPUNI YA MAFUTA YA PUMA YAWAOMBA WATANZANIA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI NA MSHIKAMANO
KAMPUNI ya Mafuta ya Puma Tanzania imewakutanisha wadau mbalimbali katika Iftar iliyoandaliwa na Kampuni hiyo huku ikitumia nafasi hiyo kuwaomba Watanzania kuendelea kuwaunga mkono...
JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LAWATAHADHALISHA WAHALIFU SHEREHE ZA PASAKA
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la polisi mkoa wa Mara limewatahadhalisha wale wote watakaofanya vitendo vya uharifu wakati wa sherehe za sikukuu ya Pasaka.
Tahadhali hiyo imetolewa...
KUTOKA UFUKARA WA KULALA NJAA HADI KUWA TAJIRI, KUMBE INAWEZEKANA!
Jina langu ni Petro, naishi Nairobi nchini Kenya kwa sasa, ni kijana wa miaka 27, awali niliishi huko Meru pamoja na wazazi wangu ambao...