Monday, September 16, 2024
Home 2024 March

Monthly Archives: March 2024

WANAWAKE MANISPAA YA MUSOMA WAWAKUMBUKA NA KUWASAIDIA WATOTO WENYE UHITAJI

0
Na Shomari Binda-Musoma WANAWAKE wa Manispaa ya Musoma wametembelea na kusaidia mahitaji kwenye vituo vinavyo watunza na kuwalea. Vituo vilivyotembelewa ni Nyarigamba, Jipe Moyo na...

MAGARI 30 YA LUMBESA YAKAMATWA PWANI

0
Na Scolastica Msewa, KibahaJumla Kiasi cha shilingi milioni 60 zimekusanywa kutokana na faini za magunia 3128 ya mazao yaliyozidisha uzito wa kilo 100 (lumbesa)...

NEEMA MGHEN AONGOZA HARAMBEE UJENZI WODI YA WAZAZI USHETU

0
Ushetu, Shinyanga…! Kada wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Bi Neema Mghen amechangia mifuko 50 ya Saruji yenye thamani ya shilingi milioni 1,150,000/= Kwaajili ya ukamilishaji...

KAMISHNA KIIZA ASHIRIKI ZOEZI LA KUELIMISHA WANANCHI WANAOTAKA KUHAMA KWA HIARI NGORONGORO

0
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro. Kamishna wa uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Richard Kiiza amefanya ziara katika baadhi ya vijiji vilivyoko ndani ya...

Wanawake wakumbushwa kutosahau Jukumu lao la Msingi la Malezi

0
Mtandao wa Polisi Wanawake wa Jeshi la Polisi (TPF-Net) Mkoa wa Mwanza umewataka wanawake wafanyabiashara wa Samaki katika Soko la Kamanga Jijini Mwanza kutosahau...

JUSTICE RUTENGE ACHAGULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA FCS

0
Shirika la The Foundation For Civil Society (FCS), limemchagua Justice Rutenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji katika shirika hilo ambaye anatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi Mei...

MBIBO ATAKA SHUGHULI ZA UTAFITI, UCHIMBAJI MADINI MKAKATI KUONGEZWA DUNIANI

0
Aeleza Juhudi za Makusudi Zilizochukuliwa na Serikali Kuboresha Mazingira ya Uwekezaji Nchini Seoul Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema ili kuwezesha usambazaji wa...

RAIS DK.MWINYI AJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA HAYATI MZEE MWINYI.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametaja baadhi ya mambo aliyojifunza kutoka kwa Hayati Mzee Mwinyi...

KINANA;RAIS SAMIA ANADHAMIRA YA DHATI KUFANIKISHA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,...

MGORE AICHANGIA BWERI FC LAKI 5 USHIRIKI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA JIJINI MWANZA

0
Na Shomari Binda-Musoma MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Wazazi Taifa Mgore Miraji ameichangia kiasi cha shilingi laki 5 timu ya Bweri FC....
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 2024,
Karibu Tukuhudumie..