Friday, September 20, 2024
Home 2024 March

Monthly Archives: March 2024

BABU YETU ATUPA SIRI YA AJABU ILI KUFANIKIWA KIMAISHA

0
Yeye sio tu mzee anayengojea simu ya mwisho, hakuwa amekata tamaa, akiwa pale nyumbani, Babu yangu alitaka kutoa njia ya mwisho na muhimu katika...

ASILIMIA 88 YA WATANZANIA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA IFIKAPO 2030 – RAIS SAMIA.

0
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kuwawezesha Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ili ifikapo mwaka 2030 zaidi ya asilimia 88 wawe...

BARABARA YA KIMARA -BONYOKWA – KINYEREZI YAKABIDHIWA KWA MKANDARASI

0
Barabara ya Kimara -Bonyokwa -Kinyerezi inayounganisha Jimbo la Ubungo na Jimbo la Segerea imekabidhiwa kwa Mkandarasi tayari kwa kuanza kujengwa. Barabara hiyo yenye urefu wa...

WAJUMBE RCC,TANGA WATAKA KASI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA.

0
Na: Boniface Gideon - Tanga Wajumbe wa Kamati ya ushauri Mkoa wa Tanga, mwishoni mwa wiki wameketi kujadili hoja mbalimbali ikiwemo miundombinu ya barabara zilizo...

POSCO YADHAMIRIA KUONGEZA UWEKEZAJI TANZANI

0
Seoul, Korea Kusini Katika hatua ya kuongeza Uwekezaji na kuimarisha ushirikiano wa biashara kimataifa Kampuni ya kimataifa inajishughulisha na uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na madini...

RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO

0
📌 Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu 📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko...

MISRI MWENYEJI WA MASHINDANO YA MICHEZO AFRIKA 2027

0
Tanzania imeungana na baadhi ya nchi wanachama wa Baraza la Michezo la Umoja wa Afrika kuichagua nchi ya Misri kuwa mwenyeji wa Mashindano ya...

SERIKALI IMESHAURIWA KUTUNGA SHERIA YA AFYA YA UZAZI ITAKAYOWASAIDIA WANAWAKE.

0
Na Mariam Muhando - Dar es salaam. Serikali kupitia Wadau wa Masuala ya Afya ya Uzazi imeshauriwa kuweka mpango mkakati wa kutunga Sheria ya Afya...

SERIKALI YAMPONGEZA MBUNGE MATHAYO KUFANIKISHA MAFUNZO YA UDEREVA KWA WAENDESHA BODABODA NA BAJAJ

0
Na Shomari Binda-Musoma SERIKALI imempongeza mbunge wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo kufanikisha kupata mafunzo ya udereva kwa waendesha bodaboda na bajaj. Pongezi hizo zimetolewa...

WAANDISHI WANAWAKE MKOA WA MARA WATOA MSAADA KITENGO CHA WATOTO NJITI HOSPITAL YA KUMBUKUMBU...

0
Waandishi wa Habari wanawake mkoani Mara wametoa msaada na kupata uelewa juu ya uangalizi wa watoto njiti kwenye hospital ya kumbukumbu ya mwalimu Nyerere. Akizungumza...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 2024,
Karibu Tukuhudumie..