Friday, September 20, 2024
Home 2024 March

Monthly Archives: March 2024

MUWASA YAPIGA MARUFUKU WANANCHI KUUZA NA KUGAWA MAJI KWA MAJIRANI

0
-WANAOTAKA BIASHARA KUBADILISHIWA MATUMIZI Na Shomari Binda-Musoma MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imepiga marufuku wananchi kuuza na kugawa maji kwa majirani. Licha...

PAC YARIDHISHWA NA UBORA WA UJENZI OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA

0
Na Jacquiline Mrisho – Maelezo Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka amesema...

MKATABA WA KWANZA WA WAZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA WASAINIWA HAI, MBUNGE SAASHISHA AISHUKURU...

0
Na Ashrack Miraji Mkataba wa kwanza wa Wazi katika vyama vya ushirika na ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili na kingereza umesainiwa leo kati ya chama...

ORYX GAS YAUNGA MKONO KAMPENI YA SERIKALI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

0
KATIKA muendelezo wa utekelezaji wa mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia uliozinduliwa na Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango hivi karibuni, Waziri...

ZIMBABWE YAVUTIWA NA MPANGO WA TANZANIA KUREJESHA MINADA YA VITO

0
Waziri wa Madini wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Soda Zhemu amesema kuwa Nchi yake imevutiwa na Mifumo ya Minada ya Madini ya Vito iliyo...

ALINIKIMBIA NA KUNIACHIA MTOTO, SASA NIPO NA MWINGINE ANANIFANYIA FUJO!

0
Kwa majina naitwa Bernad Shamte kutokea Taveta, Kenya, ni kijana wa umri miaka 28 nilikua na mwanamke nimezaa nae mtoto mmoja na nilikua nikiishi...

DKT. MWIGULU AITAKA IAA KUSIMAMIA KWA WELEDI UJENZI WA KAMPASI YAKE JIJINI DODOMA

0
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameuagiza uongozi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kusimamia kwa ukaribu ujenzi miundombinu yake inayoendelea kujengwa...

CCM WAANZA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NGAZI YA MASHINA

0
Mwenyekiti wa CCM kata ya Kitangiri Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza ameongoza zoezi la kusikiliza kero za wananchi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye...

WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI MAGARI NA PIKIPIKI KWA WATEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP

0
NA; MWANDISHI WETU – DODOMA Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vifaa...

BANDARI YA MTWARA YAPOKEA MITAMBO MIWILI YA KUPAKIA NA KUSHUSHA MIZIGO

0
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Mtwara imepokea Mitambo miwili ya kupakia na kushusha mizigo (mobile hubour crane) kutoka Bandari za...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 2024,
Karibu Tukuhudumie..