Friday, September 20, 2024
Home 2024 March

Monthly Archives: March 2024

SERIKALI IMEFANIKIWA KUWA KARIBU NA WANANCHI-DK.MWINYI

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imefanikiwa sana kuongeza ukaribu na wananchi kwa kusikiliza changamoto na...

MAANDALIZI UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA YA MSANGANI MJINI KIBAHA YAPAMBA MOTO

0
Zimesalia siku tatu kabla ya uchaguzi mdogo wa Udiwani kata ya Msangani Jimbo la Kibaha Mjini unaotarijiwa kufanyika siku ya Jumatano tarehe 20 Machi,2024. Mapema...

MPENZI WANGU KAMPONYA BIBI YANGU UGONJWA WA KISUKARI

0
Unajua kutokana na mtindo wa maisha kwa dunia ya sasa ulioletwa na mageuzi ya viwanda, watu wengi wamekuwa wakikumbwa na magonjwa mbalimbali kama kisukari...

PROF. MKUMBO: NENDENI MKASIMAMIE MASILAHI YA NCHI

0
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Raisi, Mipango na Uwekezaji, Professa Kitila Mkumbo (Mb), akizungumza alipokuwa akifunga rasmi kikao kazi cha siku tatu kati ya...

KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA SERIKALI UWEKEZAJI SEKTA YA AFYA

0
Na Mwandishi wetu- GEITA Mwenyekiti Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI Mhe. Stanslaus Nyongo amewataka wanafunzi kuzingatia masomo yao ili...

“Wanambinga Mhalule chagueni viongozi wawajibikaji,” Waziri Mhagama

0
Serikali kupitia Halmashauri ya wilaya ya Songea Vijijini yaahidi kushughulikia na kuupatia ufumbuzi mgogoro wa ardhi katika kitongoji cha Msiri na Hifadhi ya Maliasili...

UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA KWENYE SEKTA YA MAJI.

0
Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula Zacharopoulou, Waziri wa Nchi-Maendeleo ya Uchumi (Secretary of State for Economic...

UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI (KIGONGO – BUSISI) WAFIKIA 85%.

0
Ujenzi wa daraja la J.P Magufuli (Kigongo - Busisi) lenye kilometa 3.2 pamoja na barabara unganishi ya kilometa 1.66, linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya...

BOSI ALIYETAKA KUZAA NA MKE WANGU NIMEMPIGA TUKIO

0
Wahenga hawakukosea waliposema ukistaajabu ya musa utayaoana ya firauni, huu ni msemo ambao hadi sasa unaishi katika maisha ya watu na jamii kwa ujumla...

WANANCHI WATAKIWA KUTUNZA FIGO KWA KUJIEPUSHA NA UNYWAJI POMBE KUPITA KIASI NA MATUMIZI YA...

0
Na Shomari Binda, Musoma SERIKALI imetoa ushauri kwa wananchi kutunza figo kwa kujieusha na matumizi ya unywaji pombe kupita kiasi na uvutaji wa tumbaku. Kauli hiyo...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 2024,
Karibu Tukuhudumie..