Friday, September 20, 2024
Home 2024 March

Monthly Archives: March 2024

TAWA YAFANIKIWA KUPUNGUZA MIGOGORO YA MIPAKA YA ARDHI KATI YA HIFADHI NA WANANCHI KATIKA...

0
Kamishna wa Mamlaka ya usimamizi wanyamapori Tanzania (TAWA), Kamishna Mabula Nyanda, amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu...

ANDAENI MPANGO WA UFADHILI WA WATAALAMU WA KISWAHILI – MAJALIWA

0
*Asema lengo ni kukifanya Kiswahili kuwa bidhaa na kujikwamua kiuchumi *Pia kukidhi mahitaji na kuzalisha wataalamu wa kiwango cha kimataifa WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara...

MKE WANGU AMENIKIMBIA KWA MADAI NILIMBAKA DADA YAKE!

0
Jina langu ni Solomoni kutokea Kwale, Kenya, katika maisha yangu, kamwe siwezi kusahau miaka kama saba iliyopita ambapo shemeji yangu alinifungulia kesi mahakamani kuwa...

DK. NCHIMBI AWASILI ZIMBABWE MKUTANO WA VYAMA VYA UKOMBOZI KUSINI MWA AFRIKA

0
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi, akiambatana na baadhi ya Wajumbe wa Halmashauri Kuu CCM ya CCM ya...

Prof. MKUMBO: Dkt. SAMIA AMELETA SERA JUMUISHI ZA UCHUMI KUKUZA BIASHARA

0
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji Profesa Kitila Mkumbo (Mb),  amesema Serikali inaendelea kuboresha mazingira ya Biashara na Uwekezaji nchini, sambamba...

ELIMU YA ULIPAJI KODI KIKWAZO KWA WAFANYABIASHARA SAME.

0
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro ukosekana kwa elimu sahihi ya kulipa kodi ya ongezeko la thamani VAT kwa baadhi ya wafanyabiashara kwenye Halmashauri ya Wiaya ya...

KAMATI YA AFYA NA MASUALA YA UKIMWI YATEMBELEA GEREZA LA CHATO

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya Ukimwi imetembelea Gereza la Wilaya ya Chato kwa lengo la kujionea namna mwitikio wa...

TRILIONI 2.53 ZAIPAISHA TARURA NDANI YA MIAKA MITATU YA MHE.RAIS SAMIA,MAMEYA WA KINONDONI NA...

0
Na. Catherine Sungura,Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, bajeti ya...

CDE.MBETO-AITAKA ACT-WAZALENDO ISITUMIE G.N.U KAMA KICHAKA CHA KUFICHA UHALIFU WAO

0
KATIBU wa Kamati ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis amekitaka Chama Cha ACT-Wazalendo kuacha kutumia Serikali ya Umoja wa...

WANAFUNZI SAME WASAIDIWA TAULO ZA KIKE KUPUNGUZA UTORO SHULENI.

0
Na Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Wanafunzi wa kike wa shule za Sekondari Mighareni na Kwakoko wilayani Same Mjini,mkoani Kilimanjaro,wamepatiwa taulo za kike bure zenye thamani...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 2024,
Karibu Tukuhudumie..