DKT.DIMWA : ASEMA FEDHA NA UTAJIRI SIO KIGEZO CHA KUPATA UONGOZI NDANI YA CCM
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amesema Chama Cha Mapinduzi hakitofanya upendeleo wa kutoa nafasi za kugombea uongozi kwa kigezo cha...
VIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUHIMIZA AMANI
Viongozi wa dini wameaswa kuwa daraja kati ya viongozi wa Serikali na wananchi ili kuhakikisha changamoto zao zinatatuliwa pamoja na kulinda amani ya nchi...
PM. MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA MAZISHI YA ASKOFU WA KANISA LA NLGCC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Jana 30 Machi 2024 alimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Askofu wa kanisa La New Life Gospel...
DKT.MPANGO: NI LAZIMA KUJITOA MUHANGA KWA MAENDELEO YA NCHI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Sikukuu ya...
RAIS DKT. SAMIA AMEFANYA UTEUZI, UTENGUZI NA UHAMISHO WA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa voongozi.