RC MAKALA AKOSHWA NA UONGOZI WA CHATANDA JINSI UNAVYOJENGEA UWEZO WANAWAKE NA MAKUNDI MBALIMBALI
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza CPA Amos Makala ameupongeza uongozi wa Mary Pius Chatanda, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania jinsi ambavyo...
TANZANIA YAPOKEA UGENI KUTOKA CHINA WAONESHA NIA YA KUWEKEZA
Na Magrethy Katengu
Tanzania imepokea Ugeni wa Jopo la Wataalamu likiwa limeambatana na Wawekezaji na Viongozi wa Serikali kutoka Jimbo la Changzhou Nchi China ambao...
WANAKIJIJI WAANZA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA DAVID MASSAMBA MEMORIAL KUSOGEZA ELIMU JIRANI
Na Shomari Binda-Musoma
WAKAZI wa Kijiji cha Kurwaki Kata ya Mugango wameanza ujenzi wa shule ya "David Massamba Memorial Secondary School" kusogeza elimu jirani.
Sekondari hii...
TANZANIA SEHEMU SALAMA YA KUWEKEZA – DKT. MPANGO
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji kutoka nchini China na mataifa mengine kuwekeza nchini Tanzania...
DKT. KIRUSWA ATETA NA NAIBU WAZIRI WA NISHATI WA MAREKANI
Marekani yavutiwa kuwekeza Madini Mkakati Tanzania
Naibu Waziri asema Tanzania mahali salama pa uwekezaji
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amekutana na kuzungumza na Ujumbe...
MKE WANGU AJUTA KUTOA SIRI BAADA YA DOZI
Naitwa Abbas kutoka Mombasa Kenya, katika ndoa yangu mke wangu alikuwa anatoa siri zetu za ndani na kuwaambia majirani hadi wengine wanakuja kuniambia wazi...
MWALIMU WA SHULE YA MSINGI KAHAAZI BUKOBA HATIANI KWA KUOMBA NA KUPOKEA HONGO.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba imemhukumu Bw. NASWIRU MPENDEKELAKI, Mwalimu wa Shule ya Msingi Kahaazi na mmiliki wa Mpendekelaki stationary.
Mshitakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa...
AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MASHTAKA YA KUOMBA NA KUPOKEA RUSHWA
Machi 12, 2024 Katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imefunguliwa kesi ya Jinai Namba (Cc.6600) dhidi ya Bw. BENJAMIN CHALRES CHUMA kwa mashtaka ya...
MSHAURI WA WAFANYABIASHARA (TCCIA ) – MANYARA HATIANI KWA KUGHUSHI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Manyara imemhukumu Bw. RAMADHANI RASHID MSANGI ambaye ni Mshauri wa Wafanyabiashara mwajiriwa wa Chama cha wenye viwanda na kilimo Mkoa...