Sunday, September 8, 2024
Home 2024 March 21

Daily Archives: March 21, 2024

TANAPA YAONGEZA MAPATO, SEKTA YA UTALII YAIMARIKA KATIKA KIPINDI CHA MIAKA MITATU

0
Kamishna wa Uhifadhi kutoka Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) Juma Kuji, akizungumza alipokuwa akiwasilisha mada kuhusu mafanikio ya Shirika hilo kwenye mkutano na...

SERIKALI YAELEKEZWA KUONGEZA NGUVU MAPAMBANO DHIDI YA VIRUSI VYA UKIMWI

0
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI imeshauri serikali kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya virusi vya UKIMWI katika maeneo...

WATU ZAIDI YA 400 WAATHIRIWA NA MAFURIKO KILOSA

0
Jumla ya watu 1404 wameathirika na mafuriko ya mvua zinazoendelea kunyesha katika Wilaya ya Kilosa mkoani Morogoro na nyumba 351 zimeingia maji pamoja na...

TGC KUTEKELEZA SHERIA YA MADINI YA MWAKA 2010, MADINI YOTE KUONGEZEWA THAMANI HAPA HAPA...

0
KATIKA Kutekeleza Sheria ya Madini ya mwaka 2010 na marekebisho yake ya 2017 inayozuia madini ghafi kusafirishwa nje ya nchi, Kituo cha Jemolojia Tanzania...

BONANZA LA MICHEZO LANOGESHA SIKU YA MZUMBE NA KAMBI YA UJASIRIAMALI

0
Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe, Prof. William Mwegoha amesema Chuo hicho kitaendelea kudumisha utamaduni wa michezo baina ya wafanyakazi na wanafunzi ili kudumisha...

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI SAME MWANGA KOROGWE

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ameagiza uongozi wa Wizara ya Maji pamoja na watendaji wa Wizara...

TFS,MBUNGE MUHONGO WAANZISHA KAMPENI YA KUDUMU YA UPANDAJI MITI KUTUNZA MAZINGIRA

0
Na Shomari Binda-Musoma IKIWA leo ni siku ya misitu duniani yenye kauli mbiu "Misitu na Ubunifu" Wakala wa Misitu TFS wilaya ya Musoma na ofisi...

WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUGUSHI NYARAKA ZA VIKAO VYA KAMATI YA SHULE – GEITA

0
Machi 18, 2024, shauri la Rushwa na Uhujumu Uchumi Na. 7060/2024, lilifunguliwa mbele ya Mhe. Atupye Benson Fungo ambaye ni Hakimu Mkazi wa Mahakama...

AHUKUMIWA KIFUNGO CHA MIAKA 20 GEREZANI KWA MATUMIZI MABAYA YA MADARAKA

0
Kushinda kesi…Ecc 23.2022 Machi 19, 2024 shauri la uhujumu uchumi Na 23/2022 dhidi ya PAULO NGILORITI TEVELI limeamriwa katika Mahakama ya Wilaya ya Same, mbele...

MGOMBEA WA CCM NJOFU COSTANTINE ASHINDA KWA KISHINDO UDIWANI KATA YA MSHIKAMANO

0
- AWASHUKURU WANANCHI KWA KUMUAMINI Na Shomari Binda-Musoma MGOMBEA udiwani Kata ya Mshikamano manispaa ya Musoma kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Njofu Constantine ameshinda nafasi hiyo...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 21, 2024,
Karibu Tukuhudumie..