Sunday, September 8, 2024
Home 2024 March 20

Daily Archives: March 20, 2024

WIZARA YA MADINI YAANZA KUTEKELEZA MAELEKEZO YA KAMATI YA BUNGE

0
Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa amefanya ziara katika Mgodi wa Williamson Diamond Limited uliopo Wilaya ya Kishapu Mkoa wa Shinyanga kwa lengo...

BUKOBA DC YA PAMBANA KUHAKIKISHA JAMII INATUMIA UNGA WA VIRUTUBISHI ILI KUBORESHA LISHE

0
Theophilida Felician Kagera. Imeelezwa kwamba katika hali ya kupambana na changamoto ya kuutokomeza utapiamlo na udumavu Halmashauri ya Bukoba Mkoani Kagera jitihada mbalimbali zimekuwa zikifanyika...

PPRA yaanzisha ofisi tano za Kanda kusogeza huduma kwa wananchi

0
Mamalaka ya Udhibiti Ununuzi wa Umma (PPRA) imefungua Ofisi katika Kanda Tano nchini na kuwa na jumla ya kanda sita ikiwa ni sehemu ya...

WAZIRI KAIRUKI AKAGUA MABANDA YA MAADHIMISHO YA SIKU YA MISITU DUNIANI NA SIKU YA...

0
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) leo Machi 20, 2024 amekagua mabanda ya Maonesho yatakayotumika katika Maadhimisho ya Siku ya Misitu...

RC BABU ATAKA ELIMU YA HEWA YA UKAA IWAFIKIWE WANANCHI

0
Na. John I. Bera – SAME MKUU wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu, ametoa rai kwa wataalamu wa misitu nchini kutoa elimu kwa wananchi...

WANANCHI WAJITOKEZA KUPIGA KURA KUMUCHAGUA DIWANI SENGEREMA.

0
Wananchi wa Kata ya Buzilasoga wilayani Sengerema Mkoani Mwanza wamejitokeza kupiga kura kumuchagua diwani wa Kata hiyo kwenye uchaguzi mdogo. Aidha uchaguzi huo unafanyika kutokana...

RC.BABU AMEWATAKA MADEREVA WA VYOMBO VYA USAFIRISHAJI BAJAJI NA BODA BODA KUTOA USHIRIKIANO

0
Ashrack Miraji Same Kilimanjaro Kuelekea Uzinduzi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru Mkoani Kilimanajaro Aprili 02,2024 RC Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu amewaomba viongozi na madereva...

“HII SIRI ITAKUPA UTAJIRI WA MAISHA YAKO YOTE” ALINIAMBIA YULE BOSI

0
Jina langu ni Nina kutoka Nairobi nchini Kenya, tangu nikiwa mdogo nilikuwa napenda sana biashara, nakumbuka nikiwa kijijini kwetu huko mara kadhaa nilikuwa naenda...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 20, 2024,
Karibu Tukuhudumie..