MP KILANGO: RAIS SAMIA AMEFANYA MAMBO MAKUBWA SAME
Ashrack Miraji, Same Kilimanjaro
Mbunge wa jimbo la Same Mashariki, Anne Kilango amesema hayo leo Machi 19 2024 wakati wa uwasilishaji wa mafanikio ya miaka...
TBPL YASAINI MKATABA WA USAMBAZAJI WA VIUATILIFU HAI VINAVYOLINDA MAZAO NA AFYA ZA BINADAMU
Na Scolastica Msewa, Kibaha.Hatimaye kiwanda cha Kibaiolojia kinachomilikiwa na serikali cha Tanzania Biotech Product limited (TBPL) kilichoko Kibaha mkoani Pwani kimeingia rasmi mkataba wa...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala Katiba na Sheria yapitisha makadirio ya bajeti...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imepitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi kwa mwaka wa fedha 2024/25 ya Ofisi ya...
VIJANA WALIOPATA MAFUNZO VETA WATAKIWA KUYATUMIA KATIKA KUWALETEA TIJA YA KIUCHUMI
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge Huduma za Ustawi na Maendeleo ya Jamii Fatuma Hassan Toufiq amewataka vijana waliopata mafunzo ya Uanagenzi Veta...
DKT. BITEKO ASHIRIKI SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU NA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA JIMBO KATOLIKI LA...
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo anashiriki Sherehe ya kuwekwa Wakfu na Kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo...
MAKAMU MWENYEKITI WA HALMASHAURI NA WANANCHI WENGINE 463 WAHAMA HIFADHI YA NGORONGORO .
Na Mwandishi wetu, NCAA.
Makamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Ngorongoro ambaye pia ni Diwani wa kata ya Olbalbal iliyopo ndani ya hifadhi ya...
WAZIRI KAIRUKI, DKT. ABBASI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA MAONO MAKUBWA KWENYE UHIFADHI NA UTALII
Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na...