DKT. NCHEMBA AFAFANUA UKOMO WA BAJETI 2024/25
Na Saidina Msangi na Joseph Mahumi, WF, Dodoma
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), amesema kuwa Tanzania ni nchi ya mfano Afrika...
SERIKALI ITAENDELEA KUFANYA MABORESHO MASHIRIKA YANAYOMILIKI HISA CHINI YA ASILIMIA 50
Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Dkt. Natu Mwamba, (kushoto), akizungumza na Waandishi wa Habari katika hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha Msajili wa...
TANZANIA KUFUNGUA MPAKA MPYA WA KUINGIA RWANDA
Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amesema wamekubaliana na Serikali ya Rwanda kufungua mpaka mpya wa kuingia Rwanda...
RWANDA KUJENGA KIWANDA CHA MAZIWA MWANZA – WAZIRI MAKAMBA
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na Waziri wa Nchi Kilimo na Mifugo wa Rwanda...
MUWASA YAPIGA MARUFUKU WANANCHI KUUZA NA KUGAWA MAJI KWA MAJIRANI
-WANAOTAKA BIASHARA KUBADILISHIWA MATUMIZI
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imepiga marufuku wananchi kuuza na kugawa maji kwa majirani.
Licha...
PAC YARIDHISHWA NA UBORA WA UJENZI OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA
Na Jacquiline Mrisho – Maelezo
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Naghenjwa Kaboyoka amesema...
MKATABA WA KWANZA WA WAZI KATIKA VYAMA VYA USHIRIKA WASAINIWA HAI, MBUNGE SAASHISHA AISHUKURU...
Na Ashrack Miraji
Mkataba wa kwanza wa Wazi katika vyama vya ushirika na ulioandikwa kwa lugha ya kiswahili na kingereza umesainiwa leo kati ya chama...
ORYX GAS YAUNGA MKONO KAMPENI YA SERIKALI MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA
KATIKA muendelezo wa utekelezaji wa mkakati wa matumizi ya nishati safi ya kupikia uliozinduliwa na Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango hivi karibuni, Waziri...
ZIMBABWE YAVUTIWA NA MPANGO WA TANZANIA KUREJESHA MINADA YA VITO
Waziri wa Madini wa Jamhuri ya Zimbabwe Mhe. Soda Zhemu amesema kuwa Nchi yake imevutiwa na Mifumo ya Minada ya Madini ya Vito iliyo...
ALINIKIMBIA NA KUNIACHIA MTOTO, SASA NIPO NA MWINGINE ANANIFANYIA FUJO!
Kwa majina naitwa Bernad Shamte kutokea Taveta, Kenya, ni kijana wa umri miaka 28 nilikua na mwanamke nimezaa nae mtoto mmoja na nilikua nikiishi...