DKT. MWIGULU AITAKA IAA KUSIMAMIA KWA WELEDI UJENZI WA KAMPASI YAKE JIJINI DODOMA
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt.Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameuagiza uongozi wa Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA) kusimamia kwa ukaribu ujenzi miundombinu yake inayoendelea kujengwa...
CCM WAANZA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI NGAZI YA MASHINA
Mwenyekiti wa CCM kata ya Kitangiri Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza ameongoza zoezi la kusikiliza kero za wananchi ikiwa ni maandalizi ya kuelekea kwenye...
WAZIRI MHAGAMA AKABIDHI MAGARI NA PIKIPIKI KWA WATEKELEZAJI WA PROGRAMU YA AFDP
NA; MWANDISHI WETU – DODOMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulika na masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amekabidhi vifaa...
BANDARI YA MTWARA YAPOKEA MITAMBO MIWILI YA KUPAKIA NA KUSHUSHA MIZIGO
Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) Mkoa wa Mtwara imepokea Mitambo miwili ya kupakia na kushusha mizigo (mobile hubour crane) kutoka Bandari za...
WAZIRI MAVUNDE AZINDUA TIMU YA MAJADILIANO WIZARA YA MADINI
Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Peter Mavunde leo tarehe 12 Machi, 2024 amezindua Timu ya Wizara ya Majadiliano katika Ukumbi wa Nishati, Jijini Dodoma.
Uzinduzi...
WANAWAKE DIT WAWATEMBELEA WENYE MAHITAJI MAALUM , MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Na Mwandishi Wetu.
Wanawake wa Taasisi ya Teknolojia Dar-es-salaam (DIT) wameadhimisha siku ya Wanawake Duniani kwa shughuli za kijamii ikiwemo kutembelea kituo cha mazoezi cha...
SELF MICROFINANCE FUND YAWAFIKIA WANANCHI WA KIPATO CHA CHINI KWA MIKOPO NAFUU
Mudith Cheyo Afisa Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Self Microfinance Fund akizungumza katika kikao kazi kati ya Jukwaa la Wahariri na taasisi hiyo kilichoandaliwa...
MAAJABU YA AI : KLM WATANGAZA KUITUMIA KWENYE NDEGE ZAO KUOKOA CHAKULA
> Kwa kutumia modeli ya TRAYS AI, iliyoundwa mahsusi kwa ajili ya KLM, itaokoa karibia asilimia 63 ya chakula kupotea kwa kila abiria.
> Mtindo...
RAIS SAMIA APANGUA WAKUU WA MIKOA,WILAYA, WAKURUGENZI NA N/KATIBU MKUU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na uamisho wa viongozi mbali mbali.