ASILIMIA 88 YA WATANZANIA KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA IFIKAPO 2030 – RAIS SAMIA.
Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema ataendelea kuwawezesha Watanzania kutumia nishati safi ya kupikia ili ifikapo mwaka 2030 zaidi ya asilimia 88 wawe...
BARABARA YA KIMARA -BONYOKWA – KINYEREZI YAKABIDHIWA KWA MKANDARASI
Barabara ya Kimara -Bonyokwa -Kinyerezi inayounganisha Jimbo la Ubungo na Jimbo la Segerea imekabidhiwa kwa Mkandarasi tayari kwa kuanza kujengwa.
Barabara hiyo yenye urefu wa...
WAJUMBE RCC,TANGA WATAKA KASI UJENZI WA MIUNDOMBINU YA BARABARA.
Na: Boniface Gideon - Tanga
Wajumbe wa Kamati ya ushauri Mkoa wa Tanga, mwishoni mwa wiki wameketi kujadili hoja mbalimbali ikiwemo miundombinu ya barabara zilizo...
POSCO YADHAMIRIA KUONGEZA UWEKEZAJI TANZANI
Seoul, Korea Kusini
Katika hatua ya kuongeza Uwekezaji na kuimarisha ushirikiano wa biashara kimataifa Kampuni ya kimataifa inajishughulisha na uzalishaji wa bidhaa zitokanazo na madini...
RAIS SAMIA HATAKI MISUKOSUKO KWA WAFANYABIASHARA- DKT. BITEKO
📌 Ataka Watendaji Warasimu wajionee aibu;watimize wajibu
📌 Watumishi wakumbushwa shughuli za Serikali kufanyika Dodoma
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko...