KAGERA YAUNGANA NA WANAWAKE WENGINE DUNIANI KUSHEREHEKEA SIKUKUU YA WANAWAKE
Theophilida Felician, Kagera
Ikiwa leo Tarehe 8 Machi mwaka 2024 wanawake Duniani kote wakisherehekea sikukuu ya wanawake, wanawake wa Mkoani Kagera ni miongoni mwa wanawake...
WANAWAKE WAHIMIZWA KUFANYA BIASHARA KATIKA SOKO HURU
Mkurungenzi wa Kampuni ya Aja T.Limited na ambaye ni kinara katika kufanya biashara kwenye Eneo Huru la Biashara Afrika, Happiness Nyiti amesema katika kuelekea...
WANAWAKE MTEMBEE NA RAIS SAMIA HADI MITANO TENA 2025 – RC MTANDA
Na Shomari Binda-Bunda
MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa wito kwa wanawake wa mkoa wa Mara na nchi nzima kumuunga mkono Rais Dkt....
USIYOYAJUA KUHUSU TUZO ZA SUPERBRAND EAST AFRICA CHOICE , TAZAMA HAPA MAKAMPUNI YALIYOSHINDA 2024
Na Mwandishi Wetu.
Usiku wa Machi , 06 , 2024 Tuzo za heshima kwa viwango vya Ubora wa bidhaa na huduma kutoka Superbrand East Africa...
MAISHA ENDELEVU YA BINADAMU YANATEGEMEA UTUNZAJI WA MAZINGIRA
Na Scolastica Msewa, Kigamboni
Waziri wa nchi katika Ofisi ya makamu wa Rais muungano na mazingira Selemani Jaffo amesema maisha ya mwanadamu yanategemea utunzaji wa...
KWENYE MASUALA YA HUDUMA ZA AFYA, BADO KUNA PENGO KATIKA USAWA WA KIJINSIA
Nchini Tanzania na duniani kote, wanawake na wasichana wanakabiliwa na changamoto za usawa wa kijinsia ambao unachangia kuongeza hatari ya magonjwa, ulemavu, unyanyasaji wa...
KRFA YAIOMBA TFF WATAALAMU KUWANOA WALIMU WA MICHEZO MASHULENI
Na Mwandishi wetu, Moshi
KATIKA juhudi za kuinua kiwango cha michezo mashuleni, Chama cha Soka Mkoa wa Kilimanjaro (KRFA) kimeliomba Shirikisho la Soka Tanzania (TFF)...
KAMISHNA KIIZA ASHUHUDIA MUAMKO WA WANANCHI WANAOJIANDIKISHA KUHAMA KWA HIYARI KATA YA NAIYOBI
Na Mwandishi Wetu, Ngorongoro.
Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Richard Kiiza ameendelea na ziara ya kukagua zoezi la uelimishaji, uandikishaji...
DKT. BITEKO AKABIDHI MITUNGI YA GESI YA ORXY NA MAJIKO YAKE KWA MAMA LISHE...
NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk.Dotto Biteko amesema kampeni ya kuhamasisha nishati safi ya kupikia ni ya kila mmoja wetu huku akitoa...