Sunday, December 22, 2024
Home 2024 March 7

Daily Archives: March 7, 2024

WAZIRI MKUU APOKEA TAARIFA YA ATHARI ZA MVUA LINDI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka Watendaji wa Serikali wanaosimamia urejeshaji wa hali katika maeneo yaliyoathiriwa na mvua mkoani Lindi wahakikishe wanarejesha kwa haraka huduma...

NHIF YABORESHA KITITA CHAKE CHA MAFAO

0
Mkurugenzi Mkuu  Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya  (NHIF),  Bernard Konga, akizungumza alipokuwa akiwasilisha mafanikio ya mfuko huo katika miaka mitatu ya serikali...

WANAWAKE JITOKEZENI KUGOMBEA NAFASI ZA UONGOZI – JOKATE

0
Na: Mariam Muhando - Dar es Salaam Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi UWT Jokate Mwegelo amewataka wanawake wajitokeze katika kugombea...

WAANDISHI WA HABARI WANAWAKE MARA KUTEMBELEA KITENGO CHA WATOTO NJITI HOSPITAL YA MWALIMU NYERERE

0
Na Shomari Binda-Musoma WAANDISHI wa Habari Wanawake mkoa wa Mara wamepanga kutembelea na kupata uelewa namna ya matunzo na uangalizi wa watoto njiti. Ziara hiyo itafanyika...

ASKARI WANANDOA WALIOFARIKI KWA AJALI WAFANYIWA IBADA MAALUMU.

0
Na. Mwandishi wetu Jeshi la Polisi- Arusha. Mtandao wa Polisi wanawake Mkoa wa Arusha TPF-Net katika kuelekea siku ya wanawake Duniani leo wamefanya ibada maalumu...

TAASISI ZA FEDHA ZATAKIWA KUTAFAKARI CHANGAMOTO YA UHABA WA FEDHA ZA KIGENI.

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa washiriki wa Mkutano wa 21 wa Taasisi za...

ILEMELA YAKABIDHIWA MPANGO WA USIMAMIZI WA MAAFA

0
NA. MWANDISHI WETU SERIKALI imekabidhi nyaraka za usimamizi wa maafa katika Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Jijini Mwanza huku ikisisitiza kuwa, ni muhimu masuala hayo...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma March 7, 2024,
Karibu Tukuhudumie..