TANROADS MARA YALIOMBA JESHI LA POLISI KUWASAKA NA KUWAKAMATA WEZI WA MIUNDOMBINU NA TAA...
Na Shomari Binda- Musoma
WAKALA wa barabara (TANROADS) mkoa wa Mara imeliomba jeshi la polisi kuwasaka na kuwakamata wezi wa miundombinu na taa za barabarani.
Kauli...
GBT YASAJILI KAMPUNI 91 ZA MICHEZO YA KUBAHATISHA
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), James Mbaga, Akizungumza katika kikao kazi kilichowakutanisha maofisa wa Bodi hiyo, waandishi na wahariri...
MAWAZIRI WA FEDHA NCHI ZA AFRIKA WAKUBALIANA KUBORESHA TEKNOLOJIA KUONGEZA UKUSANYAJI WA MAPATO
Na. Eva Valerian na Peter Haule, WF, Victoria Falls, Zimbabwe
Mawaziri wa Fedha, Mipango na Maendeleo ya Uchumi wa nchi za Afrika wamekubaliana kuhakikisha wanakusanya...
WANAWAKE MANISPAA YA MUSOMA WAWAKUMBUKA NA KUWASAIDIA WATOTO WENYE UHITAJI
Na Shomari Binda-Musoma
WANAWAKE wa Manispaa ya Musoma wametembelea na kusaidia mahitaji kwenye vituo vinavyo watunza na kuwalea. Vituo vilivyotembelewa ni Nyarigamba, Jipe Moyo na...
MAGARI 30 YA LUMBESA YAKAMATWA PWANI
Na Scolastica Msewa, KibahaJumla Kiasi cha shilingi milioni 60 zimekusanywa kutokana na faini za magunia 3128 ya mazao yaliyozidisha uzito wa kilo 100 (lumbesa)...
NEEMA MGHEN AONGOZA HARAMBEE UJENZI WODI YA WAZAZI USHETU
Ushetu, Shinyanga…!
Kada wa Chama Cha Mapinduzi Wilayani Bi Neema Mghen amechangia mifuko 50 ya Saruji yenye thamani ya shilingi milioni 1,150,000/= Kwaajili ya ukamilishaji...
KAMISHNA KIIZA ASHIRIKI ZOEZI LA KUELIMISHA WANANCHI WANAOTAKA KUHAMA KWA HIARI NGORONGORO
Na Mwandishi wetu, Ngorongoro.
Kamishna wa uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Richard Kiiza amefanya ziara katika baadhi ya vijiji vilivyoko ndani ya...
Wanawake wakumbushwa kutosahau Jukumu lao la Msingi la Malezi
Mtandao wa Polisi Wanawake wa Jeshi la Polisi (TPF-Net) Mkoa wa Mwanza umewataka wanawake wafanyabiashara wa Samaki katika Soko la Kamanga Jijini Mwanza kutosahau...
JUSTICE RUTENGE ACHAGULIWA KUWA MKURUGENZI MTENDAJI WA FCS
Shirika la The Foundation For Civil Society (FCS), limemchagua Justice Rutenge kuwa Mkurugenzi Mtendaji katika shirika hilo ambaye anatarajiwa kuanza kazi rasmi mwezi Mei...
MBIBO ATAKA SHUGHULI ZA UTAFITI, UCHIMBAJI MADINI MKAKATI KUONGEZWA DUNIANI
Aeleza Juhudi za Makusudi Zilizochukuliwa na Serikali Kuboresha Mazingira ya Uwekezaji Nchini
Seoul
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Madini Msafiri Mbibo amesema ili kuwezesha usambazaji wa...