RAIS DK.MWINYI AJIFUNZA MENGI KUTOKA KWA HAYATI MZEE MWINYI.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi ametaja baadhi ya mambo aliyojifunza kutoka kwa Hayati Mzee Mwinyi...
KINANA;RAIS SAMIA ANADHAMIRA YA DHATI KUFANIKISHA UCHAGUZI HURU NA WA HAKI
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewahakikishia Watanzania kuwa serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan,...
MGORE AICHANGIA BWERI FC LAKI 5 USHIRIKI LIGI YA MABINGWA WA MIKOA JIJINI MWANZA
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Baraza la Wazazi Taifa Mgore Miraji ameichangia kiasi cha shilingi laki 5 timu ya Bweri FC....
ZIARA YA PAUL MAKONDA YABAINI DHULUMA WANAZOTENDEWA WANANCHI HASA ARDHI
Na Magrethy Katengu
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Paul Makonda amesema katika ziara yake aliyoifanya hivi karibuni katika...
WATUHUMIWA 3 WAKUTWA NA PIKIPIKI 32 ZA WIZI
Na Magrethy Katengu J
Jeshi la Polisi Kanda maalum ya Dar es Salaam linawashikilia Watuhumiwa 3 wakiwa na Pikipiki 32 walizoibiwa huku 13 zikitambuliwa na...
CHOMOKA NA BAJAJI UKIBASHIRI NA MERIDIANBET KUPITIA AKAUNTI YA TIGO PESA
Na Magrethy Katengu
Kampuni inayoongoza kwa kubashiri MERIDIANBET kwa kushirikiana na kampuni inayotoa malipo kwa njia ya simu Tigopesa wamezindua promotion mpya ya ''Chomoka na...
KIBALI CHATOLEWA UJENZI BARABARA MUSOMA-MAKOJO-BUSEKERA KILOMETA 42 KIWANGO CHA LAMI
-WAJUMBE BODI YA BARABARA WAWAPONGEZA MENEJA TANROADS, TARURA
Na Shomari Binda-Musoma
WAKALA wa barabara nchini TANROADS Mkoa wa Mara wamekihakikishia kikao cha bodi ya barabara mkoa...
WAKAAZI NYALUHAMA WAOMBA KUFUKIWA KWA SHIMO
WAKAZI wa Nyaluhama kata ya Buhongwa Jijini Mwanza wameomba Halmashauri ya Jiji la Mwanza kuwasaidia kufukia shimo linalohatarisha usalama wa watu katika eneo lao...