DKT.DIMWA : ASEMA FEDHA NA UTAJIRI SIO KIGEZO CHA KUPATA UONGOZI NDANI YA CCM
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa, amesema Chama Cha Mapinduzi hakitofanya upendeleo wa kutoa nafasi za kugombea uongozi kwa kigezo cha...
VIONGOZI WA DINI WATAKIWA KUHIMIZA AMANI
Viongozi wa dini wameaswa kuwa daraja kati ya viongozi wa Serikali na wananchi ili kuhakikisha changamoto zao zinatatuliwa pamoja na kulinda amani ya nchi...
PM. MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA KATIKA MAZISHI YA ASKOFU WA KANISA LA NLGCC
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Jana 30 Machi 2024 alimuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika mazishi ya Askofu wa kanisa La New Life Gospel...
DKT.MPANGO: NI LAZIMA KUJITOA MUHANGA KWA MAENDELEO YA NCHI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango na Mwenza wake Mama Mbonimpaye Mpango wakishiriki Ibada ya Sikukuu ya...
RAIS DKT. SAMIA AMEFANYA UTEUZI, UTENGUZI NA UHAMISHO WA VIONGOZI
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa voongozi.
SERIKALI KUENDELEA KUWALEA WAZALISHAJI, WAFANYABIASHARA NA WAWEKEZAJI WA NDANI
Serikali itaendelea kuwalea wazalishaji wawekezaji na wazalishaji wa ndani ya nchi ili waweze kukuza mitaji yao na kuchangia katika maendeleo ya ya Taifa kwa...
WANA LUDEWA WASHIRIKI DUA YA KUMUOMBEA RAIS SAMIA,DC AANDAA FUTARI YA PAMOJA
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa Mhe. Victoria Mwanziva,ameungana na wananchi wa Wilaya ya Ludewa mkoani Njombe katika Dua Maalumu ya Kumuombea Kheri na Baraka...
WANAUME WANAOGOPA KUNITONGOZA NA KUNIOA KISA NINA ELIMU KUBWA.
Jina langu ni Zaiylissa kutokea Pwani nchini Kenya, ni mwanamke msomi nikiwa na shahada ya uzamili (masters) katika uchumi, nimeajiriwa katika kampuni fulani nikiwa...
DKT. NCHEMBA AONGOZA MKUTANO WA WB KANDA YA AFRIKA
Na. Peter Haule, WF, Dodoma
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), ameongoza mkutano wa Benki ya Dunia wa Jukwaa la Tatu la...