CCM ITAENDELEA KUSHIKA DOLA KWA KAZI NZURI ILIYOFANYA – NANCY
YAAHIDI KULETA MGOMBEA SAFI KATA YA BUSEGWE
Na Shomari Binda-Butiama
CHAMA cha Mapinduzi "CCM" kimetajwa kuendelea kushika dola na kuiongoza Tanzania kutokana na kazi nzuri iliyofanya...
ABDULRAHMAN KINANA AJITOKEZA HADHARANI KUTETEA BUSARA NA HEKIMA ZA RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN
Na Magrethy Katengu
Makamu Mwenyeki Taifa Chama cha Mapinduzi CCM Abdulrahman Kinana amekishauri Chama cha Upinzani wasiwe watu wa kukosoakosoa tu bali wamfikiria Rais Dkt....
MAADHIMISHO MIAKA 47 YA CCM//MBUNGE CHEREHANI ATOA MADAWATI 975 YA MIL 63.3
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Mhe Emmanuel Cherehani kupitia Ofisi ya mbunge ametoa madawati 975 yenye thamani ya Shilingi 63,375,000 ili...
RC MTANDA AWATAKA WATAALAM KUYATUMIA VIZURI MATOKEO YA SENSA YA MWAKA 2022
-AWAOMBA WANAWAKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA 2025
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amewataka wataalam kwenye wilaya na halmashauri zote kuhakikisha wanatumia...
USAMBAZAJI MAJI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI KUANZA MWEZI UJAO
Na Shomari Binda-Musoma
MIRADI ya usambazaji maji kwenye maeneo mbalimbali ya jimbo la Musoma vijijini inatarajiwa kuendelea mapema mwezi ujao.
Miradi itaendelea kwenye maeneo hayo kutokana...
TANZANIA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIVUKO KUHAKIKISHA USALAMA BARABARANI
VILABU vya Kimataifa vya Usalama barabarani (ACTA) yafunga mafunzo yaliyofanyika kwa siku tatu, jijini Dar es Salaam huku wakihaidi kuboresha Miundombinu barabara korofi karibu...
“UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’ KUZINGATIA UBORA NA VIWANGO” DKT. YONAZI
NA. MWANDISHI WETU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa nyumba zinazotarajiwa kujenga kwa...
TIGO KUTOA MAGARI MAWILI NA MAMILIONI KWA WATEJA WAKE MWEZI HUU , SOMA HAPA...
Washindi wakiwa mfano wa hundi ya pesa walizojishindia wapili kulia ni Ismail Rashid aliyejishindia vifaa vya Hisense na kushoto ni baba yake mdogo aliyemchagua...
MWENEZI MAKONDA AKIZUNGUMZA NA WANANCHI WA KIBONDO, APOKEA MALALAMIKO YA CHANGAMOTO YA MAJI
Katibu wa Halamshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Kibondo Mkoani...
MAKONDA AUNGURUMA KASULU VIJIJINI , ASIKILIZA NA KUTATUA KERO ZA WANANCHI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda akisalimiana na kuzungumza na Wananchi wa Kasulu Vijijini...