OMAN NA TANZANIA ZAKABIDHIANA VIFAA VYA UHIFADHI WA MIKUSANYO YA KIMAKUMBUSHO
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameshuhudia makabidhiano ya vifaa vya awali kati ya Makumbusho ya...
TIGO WAMWEZESHA MTEJA WAO KUJENGA NYUMBA YA KISASA , WATATOA MAGARI PIA… SOMA HAPA
Na Mwandishi Wetu.
Februari , 06 , 2024 Salim Ndaro Mfanya Biashara ndogondogo za kuuza matunda Mkoani Tanga anaenda kutimiza ndoto yake ya kujenga Nyumba...
TANZANIA KUJENGWA MTAMBO MKUBWA WA UCHENJUAJI MADINI YA KINYWE.
●Mtambo wa Uchenjuaji ulianza kujengwa 2022
●Utazalisha Madini kinywe yenye ubora wa asilimia 97.
●Majaribio ya uzalishaji yataanza rasmi mwezi machi 2024.
Na.Samwel Mtuwa - MoM
Tanzania imebarikiwa...
CCM Mwanza waadhimisha miaka 47 kwa kishindo
Na Neema Kandoro Mwanza
Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza wameadhimisha miaka47 Kwa kupokea wanachama wapya kutoka vyama pinzani lkn pia na...
KAMPUNI YA PREZIDAR YAFIKISHWA KIZIMBANI TUHUMA ZA KUHUJUMU MAPATO YA SERIKALI
Na Magrethy Katengu
TAKUKURU Kinondoni kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo katika kipindi cha miezi miatatu Octoba hadi Desemba 2023...