RC MTANDA AWATAKA WATAALAM KUYATUMIA VIZURI MATOKEO YA SENSA YA MWAKA 2022
-AWAOMBA WANAWAKE KUMUUNGA MKONO RAIS SAMIA 2025
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mtanda amewataka wataalam kwenye wilaya na halmashauri zote kuhakikisha wanatumia...
USAMBAZAJI MAJI JIMBO LA MUSOMA VIJIJINI KUANZA MWEZI UJAO
Na Shomari Binda-Musoma
MIRADI ya usambazaji maji kwenye maeneo mbalimbali ya jimbo la Musoma vijijini inatarajiwa kuendelea mapema mwezi ujao.
Miradi itaendelea kwenye maeneo hayo kutokana...
TANZANIA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA VIVUKO KUHAKIKISHA USALAMA BARABARANI
VILABU vya Kimataifa vya Usalama barabarani (ACTA) yafunga mafunzo yaliyofanyika kwa siku tatu, jijini Dar es Salaam huku wakihaidi kuboresha Miundombinu barabara korofi karibu...
“UJENZI WA NYUMBA ZA WAATHIRIKA WA MAAFA HANANG’ KUZINGATIA UBORA NA VIWANGO” DKT. YONAZI
NA. MWANDISHI WETU
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Dkt. Jim Yonazi amesema kuwa nyumba zinazotarajiwa kujenga kwa...
TIGO KUTOA MAGARI MAWILI NA MAMILIONI KWA WATEJA WAKE MWEZI HUU , SOMA HAPA...
Washindi wakiwa mfano wa hundi ya pesa walizojishindia wapili kulia ni Ismail Rashid aliyejishindia vifaa vya Hisense na kushoto ni baba yake mdogo aliyemchagua...