Sunday, December 22, 2024
Home 2024 February

Monthly Archives: February 2024

OMAN NA TANZANIA ZAKABIDHIANA VIFAA VYA UHIFADHI WA MIKUSANYO YA KIMAKUMBUSHO

0
Na Happiness Shayo- Dar es Salaam Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameshuhudia makabidhiano ya vifaa vya awali kati ya Makumbusho ya...

TIGO WAMWEZESHA MTEJA WAO KUJENGA NYUMBA YA KISASA , WATATOA MAGARI PIA… SOMA HAPA

0
Na Mwandishi Wetu. Februari , 06 , 2024  Salim Ndaro Mfanya Biashara ndogondogo za kuuza matunda Mkoani Tanga  anaenda kutimiza ndoto yake ya kujenga Nyumba...

TANZANIA KUJENGWA MTAMBO MKUBWA WA UCHENJUAJI MADINI YA KINYWE.

0
●Mtambo wa Uchenjuaji ulianza kujengwa 2022 ●Utazalisha Madini kinywe yenye ubora wa asilimia 97. ●Majaribio ya uzalishaji yataanza rasmi mwezi machi 2024. Na.Samwel Mtuwa - MoM Tanzania imebarikiwa...

CCM Mwanza waadhimisha miaka 47 kwa kishindo

0
Na Neema Kandoro Mwanza Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Mwanza wameadhimisha miaka47 Kwa kupokea wanachama wapya kutoka vyama pinzani lkn pia na...

KAMPUNI YA PREZIDAR YAFIKISHWA KIZIMBANI TUHUMA ZA KUHUJUMU MAPATO YA SERIKALI

0
Na Magrethy Katengu TAKUKURU Kinondoni kwa kushirikiana na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya hiyo katika kipindi cha miezi miatatu Octoba hadi Desemba 2023...

KAMA UTANI : TIGO WAINOGESHA AFCON , WAPELEKA WATEJA WATANGAZA KUENDELEA KUMWAGA MAMILIONI

0
Dickson Masoud Michael Mkazi wa Arusha , George Peter Dilunga - Tanga , Enock Ernest Charles - Zanzibar na Deodatus Damas Sagamiko - Dar...

SASA UNAWEZA KUPATA MKOPO WA NYUMBA , ABSA BENKI MWANAHISA MPYA TMRC

0
 Na Mwandishi Wetu. TAASISI Maalum ya kifedha inayotoa mikopo ya muda mrefu kwa benki na taasisi za fedha kwa lengo la benki hizo na taasisi...

KUELEKEA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA WANACCM WAANZA KUJIPANGA

0
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Mwinyishehe Mlao amewataka wanaCCM kujenga Umoja na msikamano kuelekea chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji Hadi uchaguzi...

“DAMU CHAFU” IMEMALIZWA KATAVI.

0
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi Kaster Ngonyani amekiambia Chama Cha Mapinduzi kuwa ndani ya miezi minne wamefanikiwa kutokomeza kundi la uporaji na...

KINANA AITAKA CHADEMA KUTHAMINI NIA NJEMA YA RAIS SAMIA KATIKA MARIDHIANO.

0
MAKAMU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Abdulrahman Kinana, amesema nia njema iliyooneshwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutaka maridhiano inapaswa kuendelezwa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma February 2024,
Karibu Tukuhudumie..