Monday, December 23, 2024
Home 2024 January

Monthly Archives: January 2024

KAMISHNA MABULA AFANYA UKAGUZI WA KARAKANA YA KISASA MANYONI, ATOA MAELEKEZO MAHSUSI

0
Na. Beatus Maganja Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya...

WASHINDI WAWILI WAAGWA NA BETIKA DAR KUELEKEA AFCON IVORY COAST

0
WASHINDI wa Promosheni ya Twenzetu Ivory Coast Ki-VIP wawili waagwa rasmi katika Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kuelekea...

WIZARA YA MADINI  YAFANYA MAZUNGUMZO NA MWEKEZAJI MPYA MGODI WA NYANZAGA

0
Wataalam wa Wizara ya Madini wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Msafiri Mbibo pamoja na Kamishna wa Madini,  Dkt. AbdulRahman Mwanga wamefanya mazungumzo na ujumbe...

MAKONDA AMJIBU MBOWE ASITUMIE AGENDA YA MAANDAMANO UCHAGUZI WAO

0
Ampongeza Lissu kupuuza maandamano, kwenda AfCON Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Paul Makonda ‘amemvaa’ Mwenyekiti wa...

“ENDELEENI KULINDA AMANI NA MSHIKAMANO WA TAIFA LETU” WAZIRI MHAGAMA

0
Wananchi waombwa kuendelea kulinda amani na mshikamano wa kitaifa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge na Uratibu Mhe. Jenista...

MAKAMU WA RAIS AWASILI USWISI KUSHIRIKI MKUTANO WA WEF

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango, leo tarehe 14 Januari 2024 amewasili nchiniUswisi ambapo anatarajia kumwakilisha...

DARAJA LA MWANANCHI-MWANZA KUKARABATIWA

0
Mameneja wa Mikoa wa TARURA nchi nzima watakiwa kufanya ukaguzi wa madaraja na mifereji Mwanza Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA)...

BABA NA MAMA LISHE DODOMA MJINI WAPATIWA BURE MITUNGI YA GESI YA ORYX 500...

0
Na Mwandishi Wetu, Dodoma KAMPUNI ya Oryx Gas kwa kushirikiana na Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini ambaye pia ni Waziri wa Madini wamegawa bure...

MIAKA 60 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR IMEYABEBA MAFANIKIO MAKUBWA

0
Theophilida Felician Kagera. Watanzania wakiazimisha kumbukizi ya mapinduzi ya miaka 60 ya Zanzibar imeelezwa kuwa mapinduzi hayo yamejaa matokeo chanya ya mafanikio kwa wananchina nchi...

MIAKA 60 MAPINDUZI YA ZANZIBAR, WAFUNGWA WA GEREZA LA UTETE RUFIJI MKOANI PWANI WAKUMBUKWA

0
Akizungumza wakati wa kumkabidhi msaada huo kwenye Gereza la Utete Katibu wa Taasisi ya kumbukumbu ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere Mkoa wa Pwani ndugu...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 2024,
Karibu Tukuhudumie..