Monday, December 23, 2024
Home 2024 January

Monthly Archives: January 2024

MY LEGACY NA WADAU KUFANYA UCHECHEMUZI WA MASUALA HAYA MUHIMU KWA WANAWAKE ,VIJANA NA...

0
 Na Adery Masta - Dar Es Salaam. Taasisi ya MyLEGACY imejipanga kufanya uchechemuzi wa kubadili fikra na mitizamo lakini pia kuwajengea uwezo wanawake, vijana na...

KAMISHNA WA TAWA AZINDUA MRADI WA JENGO LA OFISI LENYE THAMANI YA ZAIDI YA...

0
Na. Beatus Maganja Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Usimamizi Wanyamapori Tanzania - TAWA amezindua mradi wa jengo la ofisi lenye jumla ya vyumba 8...

MILIONI 13.55 ZA NOTI BANDIA ZAKAMATWA PWANI

0
Na Scolastica Msewa, Kibaha. Jeshi la Polisi mkoa wa Pwani linawashikiria watu wanne kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia za kitanzania za zaidi ya...

DKT.KIRUSWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA MADINI YA KINYWE

0
●Kiwanda kimefanikiwa kuchakata Madini ya Kinywe tani 22,357.25 kwa miaka 2. ● Kiwanda kinachenjua tani 100 za Madini ya Kinywe kwa siku. Na.Samwel Mtuwa - Tanga Naibu...

HARAMBEE YA MBUNGE MUHONGO SIKU YA MAPINDUZI ” DAY” ILIVYO FAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA...

0
Na Shomari Binda-Musoma JANUARI 12 ilikuwa ni maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ambapo ilishuhudiwa uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo huko...

WATATU WAHOFIWA KUFA MAJI ZIWA VICTORIA WAKITOKEA KISIWA CHA RUKUBA

0
-MUHONGO, WANANCHI WATOA MAFUTA KUWATAFUTA Na Shomari Binda-Musoma WATU watatu wanahofiwa kufa maji ziwa victoria wakitokea kisiwa cha Rukuba kwenda kufanya shughuli za uvuvi kisiwa cha...

DC SAME ARIDHISHWA NA HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA TANROAD KUKARABATI DARAJA LA KIHULIO...

0
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro Hatimae mawasiliano ya barabara baina ya wakazi wa Kisiwani-Maore, Ndugu,Kihurio na Bendera wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yamerejea baada ya...

BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPOKEA MELI KUBWA YENYE UREFU MITA 294

0
Na Magrethy Katengu Bandari ya Dar es salaam imepokea Meli kubwa ya Norwegian Line Dawn ya Utalii yenye urefu wa mita 294 aina ya NCL...

Wananchi wampongeza Mwenyekiti kwa kujenga Daraja

0
Na Neema Kandoro Mwanza Wananchi wa Mtaa wa Nyakalekwa wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza wamepongeza juhudi za Mwenyekiti wa Kijiji kwa Kuwajengea daraja ambalo lilihalibiwa...

DC NAANO, KAMISHNA WA ARDHI MKOA WA MARA WASIKILIZA MIGOGORO YA ARDHI BUNDA

0
Na Shomari Binda-Bunda MKUU wa Wilaya ya Bunda Dk. Vicent Naano na Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa wa Mara Joseph Bitanamani wamewasikiliza wananchi na kutoa...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 2024,
Karibu Tukuhudumie..