Monday, December 23, 2024
Home 2024 January

Monthly Archives: January 2024

KUNDI KUBWA LA WANANCHI 515 LAHAMA NGORONGORO KWENDA MSOMERA .

0
Kundi lenye kaya 72 wananchi 515 na mifugo 2,206 limeagwa leo tarehe 18/01/2024 baada ya kujiandikisha na kuamua kuhama kwa hiyari kutoka katika eneo...

MWENYEKITI UWT ILEMELA KUTEMBELEA KATA 19 KUWAJENGEA KINA MAMA UWEZO

0
Na Neema Kandoro Mwanza Kamati ya Siasa Wilaya ya llemela ikiongozwa na Mwenyekiti wa Wanawake Wilaya ya Ilemela (UWT) Salome Mtambalike wanafanya Ziara ya Kata...

ONYO LATOLEWA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI KUWAJIBISHWA KISHERIA

0
Na Magrethy Katengu Bodi ya Sukari Tanzania mewataka wafanyabiashara wanaouza na bei ya sukari isiyo halali kuacha mara moja kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa...

DC HAULE AWATANGAZIA KIAMA WEZI WA MIUNDOMBINU YA MAJI MUSOMA VIJIJINI

0
-WATAKAOKAMATWA KUFUNGULIWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI Na Shomari Binda-Musoma MWENYEKITI wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Musoma na mkuu wa Wilaya hiyo Dk.Khalfan Haule...

RC MTANDA AIPONGEZA WILAYA YA MUSOMA UANDIKISHAJI WANAFUNZI MWAKA 2024

0
Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ameipongeza Wilaya ya Musoma kwa kufanya vizuri uandikishaji wa wanafunzi kwa mwaka 2024. Pongezi hizo amezitoa...

MAGIFTI DABO DABO YAMWEZESHA KUMALIZIA UJENZI WA NYUMBA YAKE

0
Januari , 18 , 2024 Bi . Linah Shayo  MkaziMkazi wa Kigamboni  Jijini Dar Es Salaam anaenda kumalizia ujenzi wa Nyumba yake baada ya...

MHE. MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 18, 2024 ameelekea nchini uganda ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...

MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII INAONDOA UTEGEMEZI UZEENI

0
Na. Peter Haule, WF, Morogoro Wananchi wanatakiwa kupata elimu ya fedha na kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuwasaidia wanapozeeka au kustaafu kazi...

WAZAZI NA WALEZI WILAYANI LUDEWA TUWAPELEKE WATOTO MASHULENI

0
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha Watoto ambao wamefikia umri wa kuanza masomo ya Awali, Darasa la...

TBS YAKUTANA NA WAZALISHAJI NA WAUZAJI WA BIDHAA ZA MABATI NA MALIGHAFI KANDA YA...

0
 Na Mwandishi Wetu. SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limefanya kikao na wadau wa bidhaa za mabati nchini chenye lengo la kujenga uelewa ili kuweka mikakati...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 2024,
Karibu Tukuhudumie..