AMUUA MKE WAKE SHAMBANI WILAYANI BUNDA KWA WIVU WA MAPENZI
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la polisi mkoani Mara linamshikilia Muyengi Ruben mwenye umri wa miaka 35 mkazi wa Kijiji cha Namhula wilayani Bunda kwa kumuua...
MAABARA NANE ZA TBS ZAPATA VYETI VYA UMAHIRI KUTOKA SADCAS
TAASISI ya Ithibati ya Jumuiya ya nchi za Kusini mwa Afrika (SADCAS) imethibitisha na kuzipatia vyeti vya umahiri maabara 8 za Shirika la Viwango...
FANYA HAYA KUSHINDA MAMILIONI YA FEDHA ZA TIGO MAGIFTI DABO DABO
Mkurugenzi wa Tigo Kanda ya Pwani-Vijijini Aidan Komba (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni tano, Hamisa Clement mkazi wa Kilosa aliyejishindia kupitia...
TIGO ZANTEL WAZINDUA KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA ZANZIBAR
Na Mwandishi Wetu
Mstahiki Meya wa Jiji la Zanzibar,Mahmoud Mohammed Musa(katikati), akikata utepe kuashiria uzinduzi wa kituo kipya cha huduma kwa wateja zanzibar, pembeni yake...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiwe na Miradi yake Binafsi
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi mkoani Mwanza Marco Lushinge maarufu kwa jina la Smart amesema anatamani kuona jumuiya za chama hicho mkoani humo zinajitegemea...
KATIBU MKUU WA CCM BALOZI DKT. EMMANUEL NCHIMBI APOKELEWA PWANI KWA MKUTANO WA KIKAZI
NA SCOLASTICA MSEWA, KIBAHAKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi amesema viongozi wa chama hicho wanatakiwa kufanana na Chama chao...
TANROADS YAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA YA KUNDUCHI MTONGANI NDANI YA MASAA 48
Na Magrethy Katengu
Tanroad imefany jitihada za haraka kurejesha mawasiliano barabara ya Kunduchi Mtongani ndani ya masaa 48 baada ya Daraja la Tegeta kingo zake...
RC MTANDA ATOA TAHADHARI KWA WATAKAOENDELEZA KILIMO CHA BANGI WILAYANI TARIME
OPARESHENI KALI KUENDELEA
Na Shomari Binda-Tarime
MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa tahadhari kwa wananchi watakaoendeleza kilimo cha zao haramu la bangi wilayani Tarime.
Akizungumza...
RAIS KUFANYA ZIARA YA KIKAZI INDONESIA, VATICAN, NA NORWAY
Na Magrethy Katengu
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara katika Nchi za Indonesia, Vatican na Norway ikiwa...
MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO WA G77 NA CHINA, KAMPALA, UGANDA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 21, 2024 amehudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kundi la G77na China uliofanyika jijini Kampala...