Sunday, December 22, 2024
Home 2024 January

Monthly Archives: January 2024

TANZANIA YAANZA UENYEKITI WA MIKUTANO YA AFCFTA

0
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara na Mwenyekiti wa Kamati ya Maafisa Wakuu wa Biashara (STO) wa Mkataba wa Eneo Huru la...

JESHI LA POLICE MKOANI MWANZA LIMEWAKAMATA ZAIDI YA WATUHUMIWA 300

0
Na Neema Kandoro Mwanza ZAIDI ya watu 300 wamekamatwa na Jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma mbalimbali katika msako unaondelea kufanywa kuzuia uhalifu wa...

HALMASHAURI YA SIKONGE YATAKIWA KULIPA MADENI.

0
Halmashauri ya mji wa Sikonge mkoani Tabora imeagizwa kuwalipa stahiki zao waliokuwa wajenzi wa Hospitali ya wilaya hiyo iliyojengwa mwaka 2019. Agizo hilo limetolewa na...

MAGIFTI DABO DABO YAMTIMIZIA DADA HUYU NDOTO YA KUMILIKI SALUNI YA KIKE , FANYA...

0
Na Mwandishi Wetu Januari 26, 2024 Novat Freemin Lyaruu Mchoma Nyama Dar Es Salaam , Kumbuka Mbugulu, na Jenifer Gunga ni baadhi ya Wawakilishi wachache...

TANZANIA NA KOREA KUSINI ZAKUBALIANA KUBORESHA MANDHARI YA JIJI LA DODOMA

0
Imeelezwa kuwa ushirikiano uliopo kati ya Tanzania na Korea Kusini umechochea kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo hapa nchini ikiwemo mradi...

MKURUGENZI SINGIDA APEWA SIKU 5 KULIPA DENI LA TSH MILIONI 29.2

0
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda ametoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Singida Mjini...

HAKUNA MWANANCHI WA NGORONGORO ATAKAYEKOSA HAKI YAKE-RC MONGELLA

0
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mheshimiwa John Mongella amewahakikishia wananchi wanaohama kwa hiari kutoka ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo mengine nje ya...

MAKONDA AMBANA WAZIRI WA FEDHA KUHUSU MIKOPO YA KAUSHA DAMU

0
Katibu wa NEC - Itikadi na Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Paul Christian Makonda mbele ya Wananchi wa Singida wakati anasikiliza kero...

GST, TFRA NA TFC YASAINI HATI YA MAKUBALIANO MKAKATI WA KUZALISHA MALIGHAFI YA MBOLEA

0
Mbolea kuzalishwa nchini kwa kutumia Malighafi za ndani Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) imesaini hati ya makubaliano (MoU) na Mamlaka ya...

TIGO WALIVYOVUNJA REKODI 2023 , SHUHUDIA HAPA WAKIPOKEA TUZO YA MTANDAO WENYE SPIDI ZAIDI...

0
 Na Mwandishi Wetu. Afisa Mkuu wa Ufundi wa Tigo, Emmanuel Malya akipokea Tuzo ya Ookla® Speedtest™ kama Mtandao wa Simu wenye kasi zaidi nchini Tanzania...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 2024,
Karibu Tukuhudumie..