Friday, September 20, 2024
Home 2024 January

Monthly Archives: January 2024

ONGEZEKO IDADI YA MABWENI, LAONGEZA UDAHILI WA WANAFUNZI WA KIKE YAKOBI

0
Na Jacquiline Mrisho - Maelezo Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Bweni ya Yakobi iliyopo katika Kijiji cha Limage, Halmashauri ya Mji Njombe mkoani Njombe,...

VIONGOZI WA DINI WAOMBWA KUWEKA MKAZO KATIKA KUSIMAMIA MAADILI.

0
Na; Mwandishi wetu Viongozi wa dini wameombwa kuendelea kusimamia imara na kukemea matendo maovu yanayopelekea mmomonyoko wa maadili hususan kwa vijana hasa katika mazingira ya...

KUELEKEA MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA MAPINDUZI ZANZIBAR,

0
DKT. BITEKO AFUNGUA JENGO LA AFISI MAMLAKA YA MAJI ZANZIBAR 📌Awapongeza Rais Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi kwa maono na miongozo yao kutekeleza Miradi ya...

RAIS DKT.MWINYI ASEMA ELIMU NI KIPAUMBELE NAMBA MOJA.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeweka kipaumbele namba moja katika sekta ya elimu imeongeza bajeti...

UONGOZI WA MTAA WA NHC RWAMISHE WA APA KUVITOKOMEZA VITENDO VYA WIZI VINAVYOWAKABILI WANANCHI.

0
Na Theophilida Felician Kagera. Kamati ya uongozi wa mtaa wa NHC Kata ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera umewahakikishia wananchi kuzitumia mbinu mbalimbali ili...

RC MTANDA ATOA HAMASA YA MILIONI 2 KWA WACHEZAJI BIASHARA UNITED WAKIIFUNGA MBUNI FC...

0
-AWAITA WANACHAMA NA WADAU KUONGEZA HAMASA Na Shomari Binda-Musoma MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kama hamasa kwa...

SHERIA MPYA YA UWEKEZAJI ZANZIBAR NI BORA AFRIKA.

0
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2023 itakuwa bora Afrika ambayo...

DKT. BITEKO AITAKA JUMUIYA YA WAZAZI KUTUMIA RASILIMALI ZILIZOPO KUKIJENGA CHAMA.

0
📌Akabidhi Pikipiki na kofia ngumu Jumuiya ya Wazazi (CCM) Zanzibar 📌Awataka kutumia pikipiki hizo kuieneza CCM 📌Azuru Kaburi la Hayati Abeid Amani Karume Naibu Waziri Mkuu na...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 2024,
Karibu Tukuhudumie..