Tuesday, December 24, 2024
Home 2024 January

Monthly Archives: January 2024

TUMIENI UMEME WA REA KUJILETEA MAENDELEO – MBUNGE CHEREHANI

0
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama Mbunge wa jimbo la Ushetu, Mhe. Emannuel Cherehani amewataka wananchi kutumia uwepo wa umeme wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kujiletea...

KAMATI YA BUNGE YARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UVIKO PORI LA AKIBA WAMI...

0
Na Mwandishi Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa...

OLIVIA WA BUKOBA ASHINDA MILIONI 10 YA MAGIFTI DABO DABO

0
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kulia) akimkabidhi mfano wa hundi Shilingi milioni kumi Mshindi wa Magifti Dabodabo mkazi wa kijiji cha Rushaka,...

WATANZANIA ZAIDI YA 100 WANUFAIKA NA MAGIFTI DABO DABO , FANYA HAYA BADO UNA...

0
 Na Mwandishi Wetu. Januari 11, 2024 Warda Abdallah Shetui Mjasiliamali Mkazi wa Mwananyamala Dar Es Salaam na Charles Aidan Ngosingosi Fundi Selemala Mkazi wa Tabata...

WADAU WA MADINI WAMEPONGEZA MTAZAMO WA SERIKALI KWENYE SEKTA HIYO

0
Na Neema Kandoro Mwanza Wadau wa Madini wamepongeza ujio wa Waziri wa Madini Mhe Anthony Peter Mavunde alieongoza kikao kilichofanyika Mkoani Mwanza lengo ikiwa...

MAJALIWA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA YA KASKAZINI B PANGATUPU

0
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 amezindua Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja yenye uwezo wa...

ZIARA YA DKT. BITEKO MKOANI MTWARA YAPELEKEA MITAMBO ILIYOSIMAMA KUANZA KUZALISHA UMEME

0
📌Kituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa 📌Wananchi Songosongo nao hawajasahaulika 📌RC Mtwara amshukuru Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu...

“TUTATEMBEA NYUMBA KWA NYUMBA KUWASAKA HAO WATOTO ILI WAENDE SHULE.”DC SIMA BUKOBA.

0
Theophilida Felician Kagera. Mkuu wa wilaya Bukoba Mhe Erasto Sima atangaza msako mkali wa kuwabaini watoto wote ambao hawajaripoti shule kuanza masomo ya kidato cha...

MBUNGE ANNE KILANGO ACHAGIA MIL. 20 UJENZI WA SHULE YA MSINGI MTUNDU

0
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki Mhe. Anne Kilango amechangia kiasi shilingi Milioni 20 kwa ajili ya ujenzi wa shule...

ASILIMIA 60 YA WANANCHI WAPATA HUDUMA ZA AFYA NDANI YA KM 5 MWAKA 2023

0
Na Magrethy Katengu Serikali kupitia Wizara ya Afya katika Kipindi cha mwaka 2023 imejitahidi kwa kusogeza huduma kwa wananchi kwani asilimia 60 ya wananchi wanapata...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 2024,
Karibu Tukuhudumie..