VILABU SABA KUTOKA MASHIRIKISHO YA USALAMA BARABARANI KIMATAIFA VYASHIRIKI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI
TAKRIBANI Nchi 07 za Afrika za hudhuria Mafunzo ya Usalama Barabarani yaliyoandaliwa na Shirikisho la Kimataifa Usalama Barabarani (ACTA) kwa siku 3 yenye lengo...
HII HAPA FURSA KWA WAKULIMA NCHINI , MKATABA HUU WA TCDC NA TIGO PESA.
Afisa Mkuu wa Tigo Pesa, Angelica Pesha (Kushoto) akiwa na Mrajisi wa Chama cha Ushirika na Mkurugenzi Mtendaji wa TCDC, Dk. Benson Ndiege kuonyesha...
WASANII KUTOKA MATAIFA 8 KULIPAMBA TAMASHA LA PASAKA
Kuelekea Tamasha la Pasaka mwaka 2024 Alex Msama Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion waandaaji wa Tamasha hilo amethibitisha waimbaji wa muziki wa injili...
“OBAMA” ASISITIZA UMUHIMU WA UHIFADHI WA MAZINGIRA KWA KUPANDA NA KUTUNZA MITI
Na Shomari Binda-Butiama
MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Butiama Baraka Imanyi maarufu "Obama" amesema kuna umuhimu mkubwa kupanda na kutunza miti kwa uhifadhi...
UTUNZAJI KUMBUKUMBU KURAHISISHA MALIPO YA BIMA
Na. Khadija Ibrahim, WF, Dodoma
Serikali imewataka wananchi kutunza kumbukumbu na nyaraka muhimu za rejea ili kuondoa usumbufu na kurahisisha zoezi la ulipaji fidia hususan...
AUA MTOTO WA MIEZI 3 KWA KUMCHOMA KISU,NAE AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI
-AMCHOMA PIA MAMA NA BIBI WA MTOTO
Na Shomari Binda-Musoma
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Muha mkazi wa Kijiji cha Busekera Musoma vijijini amemua...
WATUMIAJI WA BARABARA WASHAURIWA KUTOTUMIA VIVUKO VILIVYOZUILIWA
Watumiaji wa barabara mkoani Dar es Salaam wameshauriwa kutotumia barabara au vivuko ambavyo vimewekwa vizuizi katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha nchini.
Wito huo...
LIONS CLUB IMETOA MSAADA WA MATANKI YA MAJI KWA SHULE ZA KATA
TAASISI ya Lions Club imetoa msaada wa matanki nane ya kuhifadhia maji kwa ajili ya shule za Kata ya Vigwaza Halmashauri ya Chalinze.
Akisoma taarifa...