Afrika Tumieni vema Fursa za soko la AfCFTA
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) na Mwenyekiti wa Mkutano wa 13 wa Mawaziri wa Biashara Mkataba wa Eneo Huru...
VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM VYAENDELEA KUSAMBAZWA
Na Shomari Binda-Musoma
VITABU vinavyoelezea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi kwenye jimbo la Musoma vijijini vimeendelea kusambazwa ili kusoma utekelezaji uliofanyika.
Vitabu...
JESHI LA POLISI MKOA WA MARA LAWARUDISHA WATOTO WA MTAANI KWENYE FAMILIA ZAO
Na Shomari Binda-Musoma
JESHI la Polisi mkoani Mara kupitia dawati la jinsia wanawake na watoto wilaya ya Musoma limefanikiwa kuwatoa watoto wa mtaani 26 na...
HAIPPA PLC TANZANIA YATOA ELIMU YA BIASHARA
Na Shomari Binda-Musoma
KAMPUNI ya umma ya iliyojikita kufanikisha biashara,uwekezaji na masoko ya Haippa PLC Tanzania imekusudia kuendelea kutoa elimu kwa watanzania waielewe na kuitumia...
TUITUMIE WIKI YA SHERIA KUPATA MSAADA WA KISHERIA ” JAJI MTULYA”
Na Shomari Binda-Musoma
WANANCHI mkoani Mara wametakiwa kuitumia wiki ya sheria kufika kwenye mabanda uwanja wa shule ya msingi Mukendo kupata msaada wa kisheria
Wiki hiyo...
TIMU YA EWURA YAFIKA MASWA KUTATHMINI BEI YA MAJI BAADA YA SIMU YA MAKONDA...
Leo tarehe 30 June 2024 Team ya watalamu kutoka EWURA imefika wilaya ya Maswa mkoani Simiyu kufuatilia na kufanya tathmini ya kina juu ya...
DC MGENI AZINDUA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA SAME
Mkuu wa wilaya ya Same Kasilda Mgeni ameongoza wakazi wa wilaya hiyo katika ufunguzi wa maadhimisho ya Wiki ya Sheria wilayani humo na kusisitiza...
NYIHITA AWATAKA MAAFISA TEHAMA CCM MARA KUSAJILI WANACHAMA SAHIHI
Na Shomari Binda-Musoma
MJUMBE wa Kamati ya Utekelezaji ya Jumuiya ya Wazazi mkoa wa Mara na Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa Nyihita Nyihita...
TANESCO YAZINDUA MPANGO WA MIAKA 4 KUONGEZA IDADI YA WAHANDISI WANAWAKE
Na Magrethy Katengu
Shirika la Umeme Tanzania( TANESCO) limesema litahakikisha linaongeza jitihada ya kuongeza idadi ya Wahandisi Wanawake katika fani hiyo ili kusaidia utekelezaji wa...