TANROADS YAREJESHA MAWASILIANO YA BARABARA YA KUNDUCHI MTONGANI NDANI YA MASAA 48
Na Magrethy Katengu
Tanroad imefany jitihada za haraka kurejesha mawasiliano barabara ya Kunduchi Mtongani ndani ya masaa 48 baada ya Daraja la Tegeta kingo zake...
RC MTANDA ATOA TAHADHARI KWA WATAKAOENDELEZA KILIMO CHA BANGI WILAYANI TARIME
OPARESHENI KALI KUENDELEA
Na Shomari Binda-Tarime
MKUU wa Mkoa wa Mara Said Mtanda ametoa tahadhari kwa wananchi watakaoendeleza kilimo cha zao haramu la bangi wilayani Tarime.
Akizungumza...
RAIS KUFANYA ZIARA YA KIKAZI INDONESIA, VATICAN, NA NORWAY
Na Magrethy Katengu
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajia kufanya Ziara katika Nchi za Indonesia, Vatican na Norway ikiwa...