Sunday, December 22, 2024
Home 2024 January 19

Daily Archives: January 19, 2024

STAMICO YAAGIZWA KUSAIDIA UPATIKANAJI WA UMEME NCHINI

0
Waziri wa Madini, Mh. Anthony Mavunde amelikita Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kujikita katika kusaidia upatikanaji wa umeme wa uhakika kupitia makaa ya...

HII HAPA SIRI PEKEE YA KUSHINDA GARI MBILI NA MAMILIONI YA FEDHA ZA TIGO...

0
Na Mwandishi Wetu Januari 19, 2024 Farida Keppy Kyeumbile na Mohammed Salum ni baadhi ya Wawakilishi wachache kutoka Dar Es Salaam waliojishindia Milioni Moja Moja...

TANZANIA NA IRAN ZIMESAINI MAKUBALIANO YA KUONDOA UTOZAJI KODI MARA MBILI

0
Na. Scola Malinga, WF, Dar es Salaam Tanzania na Jamhuri ya Kiislam ya Iran zimesani makubaliano ya majadiliano ya Kuondoa Utozaji Kodi Mara Mbili baada...

ARUDISHA TABASAMU KWA WANAFUNZI WALIOKUWA WAMEKATA TAMAA YA KUENDELEA NA MASOMO

0
Na Neema Kandoro Mwanza. Mjumbe wa Baraza Kuu la Wazazi na Mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndg. Velji AminMohamed maarufu kama Mlete...

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS DKT. SAMIA UGANDA

0
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa Majaliwa amewasili leo Januari 18, 2024 nchini Uganda akimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 19 wa...

KUNDI KUBWA LA WANANCHI 515 LAHAMA NGORONGORO KWENDA MSOMERA .

0
Kundi lenye kaya 72 wananchi 515 na mifugo 2,206 limeagwa leo tarehe 18/01/2024 baada ya kujiandikisha na kuamua kuhama kwa hiyari kutoka katika eneo...

MWENYEKITI UWT ILEMELA KUTEMBELEA KATA 19 KUWAJENGEA KINA MAMA UWEZO

0
Na Neema Kandoro Mwanza Kamati ya Siasa Wilaya ya llemela ikiongozwa na Mwenyekiti wa Wanawake Wilaya ya Ilemela (UWT) Salome Mtambalike wanafanya Ziara ya Kata...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 19, 2024,
Karibu Tukuhudumie..