ONYO LATOLEWA WAFANYABIASHARA WANAOPANDISHA BEI YA SUKARI KUWAJIBISHWA KISHERIA
Na Magrethy Katengu
Bodi ya Sukari Tanzania mewataka wafanyabiashara wanaouza na bei ya sukari isiyo halali kuacha mara moja kwani hatua kali za kisheria zitachukuliwa...
DC HAULE AWATANGAZIA KIAMA WEZI WA MIUNDOMBINU YA MAJI MUSOMA VIJIJINI
-WATAKAOKAMATWA KUFUNGULIWA KESI YA UHUJUMU UCHUMI
Na Shomari Binda-Musoma
MWENYEKITI wa Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya ya Musoma na mkuu wa Wilaya hiyo Dk.Khalfan Haule...
RC MTANDA AIPONGEZA WILAYA YA MUSOMA UANDIKISHAJI WANAFUNZI MWAKA 2024
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ameipongeza Wilaya ya Musoma kwa kufanya vizuri uandikishaji wa wanafunzi kwa mwaka 2024.
Pongezi hizo amezitoa...
MAGIFTI DABO DABO YAMWEZESHA KUMALIZIA UJENZI WA NYUMBA YAKE
Januari , 18 , 2024 Bi . Linah Shayo MkaziMkazi wa Kigamboni Jijini Dar Es Salaam anaenda kumalizia ujenzi wa Nyumba yake baada ya...
MHE. MAJALIWA AMWAKILISHA RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA 19 WA WAKUU WA NCHI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 18, 2024 ameelekea nchini uganda ambapo anatarajiwa kuongoza ujumbe wa Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika...
MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII INAONDOA UTEGEMEZI UZEENI
Na. Peter Haule, WF, Morogoro
Wananchi wanatakiwa kupata elimu ya fedha na kujiunga na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii ili kuwasaidia wanapozeeka au kustaafu kazi...
WAZAZI NA WALEZI WILAYANI LUDEWA TUWAPELEKE WATOTO MASHULENI
Mkuu wa Wilaya ya Ludewa- Victoria Mwanziva ametoa rai kwa wazazi wote kuhakikisha Watoto ambao wamefikia umri wa kuanza masomo ya Awali, Darasa la...