DKT.KIRUSWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUCHAKATA MADINI YA KINYWE
●Kiwanda kimefanikiwa kuchakata Madini ya Kinywe tani 22,357.25 kwa miaka 2.
● Kiwanda kinachenjua tani 100 za Madini ya Kinywe kwa siku.
Na.Samwel Mtuwa - Tanga
Naibu...
HARAMBEE YA MBUNGE MUHONGO SIKU YA MAPINDUZI ” DAY” ILIVYO FAFANIKISHA UPAUAJI WA MADARASA...
Na Shomari Binda-Musoma
JANUARI 12 ilikuwa ni maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ambapo ilishuhudiwa uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo huko...
WATATU WAHOFIWA KUFA MAJI ZIWA VICTORIA WAKITOKEA KISIWA CHA RUKUBA
-MUHONGO, WANANCHI WATOA MAFUTA KUWATAFUTA
Na Shomari Binda-Musoma
WATU watatu wanahofiwa kufa maji ziwa victoria wakitokea kisiwa cha Rukuba kwenda kufanya shughuli za uvuvi kisiwa cha...
DC SAME ARIDHISHWA NA HATUA ZA HARAKA ZILIZOCHUKULIWA NA TANROAD KUKARABATI DARAJA LA KIHULIO...
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Hatimae mawasiliano ya barabara baina ya wakazi wa Kisiwani-Maore, Ndugu,Kihurio na Bendera wilaya ya Same mkoani Kilimanjaro yamerejea baada ya...
BANDARI YA DAR ES SALAAM YAPOKEA MELI KUBWA YENYE UREFU MITA 294
Na Magrethy Katengu
Bandari ya Dar es salaam imepokea Meli kubwa ya Norwegian Line Dawn ya Utalii yenye urefu wa mita 294 aina ya NCL...
Wananchi wampongeza Mwenyekiti kwa kujenga Daraja
Na Neema Kandoro Mwanza
Wananchi wa Mtaa wa Nyakalekwa wilaya ya Nyamagana Mkoani Mwanza wamepongeza juhudi za Mwenyekiti wa Kijiji kwa Kuwajengea daraja ambalo lilihalibiwa...
DC NAANO, KAMISHNA WA ARDHI MKOA WA MARA WASIKILIZA MIGOGORO YA ARDHI BUNDA
Na Shomari Binda-Bunda
MKUU wa Wilaya ya Bunda Dk. Vicent Naano na Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa wa Mara Joseph Bitanamani wamewasikiliza wananchi na kutoa...
KAMISHNA MABULA AFANYA UKAGUZI WA KARAKANA YA KISASA MANYONI, ATOA MAELEKEZO MAHSUSI
Na. Beatus Maganja
Kamishna wa Uhifadhi wa TAWA Mabula Misungwi Nyanda ameeleza kufurahishwa kwake na ubora wa viwango vya ujenzi wa karakana ya matengenezo ya...
WASHINDI WAWILI WAAGWA NA BETIKA DAR KUELEKEA AFCON IVORY COAST
WASHINDI wa Promosheni ya Twenzetu Ivory Coast Ki-VIP wawili waagwa rasmi katika Uwanja wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kuelekea...