WIZARA YA MADINI YAFANYA MAZUNGUMZO NA MWEKEZAJI MPYA MGODI WA NYANZAGA
Wataalam wa Wizara ya Madini wakiongozwa na Naibu Katibu Mkuu Msafiri Mbibo pamoja na Kamishna wa Madini, Dkt. AbdulRahman Mwanga wamefanya mazungumzo na ujumbe...