OLIVIA WA BUKOBA ASHINDA MILIONI 10 YA MAGIFTI DABO DABO
Mkurugenzi wa Tigo kanda ya Ziwa Joseph Mutalemwa(kulia) akimkabidhi mfano wa hundi Shilingi milioni kumi Mshindi wa Magifti Dabodabo mkazi wa kijiji cha Rushaka,...
WATANZANIA ZAIDI YA 100 WANUFAIKA NA MAGIFTI DABO DABO , FANYA HAYA BADO UNA...
Na Mwandishi Wetu.
Januari 11, 2024 Warda Abdallah Shetui Mjasiliamali Mkazi wa Mwananyamala Dar Es Salaam na Charles Aidan Ngosingosi Fundi Selemala Mkazi wa Tabata...
WADAU WA MADINI WAMEPONGEZA MTAZAMO WA SERIKALI KWENYE SEKTA HIYO
Na Neema Kandoro Mwanza
Wadau wa Madini wamepongeza ujio wa Waziri wa Madini Mhe Anthony Peter Mavunde alieongoza kikao kilichofanyika Mkoani Mwanza lengo ikiwa...
MAJALIWA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA YA KASKAZINI B PANGATUPU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Januari 11, 2024 amezindua Hospitali ya Wilaya ya Kaskazini B Pangatupu iliyopo Mkoa wa Kaskazini Unguja yenye uwezo wa...
ZIARA YA DKT. BITEKO MKOANI MTWARA YAPELEKEA MITAMBO ILIYOSIMAMA KUANZA KUZALISHA UMEME
📌Kituo cha Afya Msimbati chaanza kujengwa
📌Wananchi Songosongo nao hawajasahaulika
📌RC Mtwara amshukuru
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas Ahmed ameeleza kuwa, ziara aliyofanya Naibu...
“TUTATEMBEA NYUMBA KWA NYUMBA KUWASAKA HAO WATOTO ILI WAENDE SHULE.”DC SIMA BUKOBA.
Theophilida Felician Kagera.
Mkuu wa wilaya Bukoba Mhe Erasto Sima atangaza msako mkali wa kuwabaini watoto wote ambao hawajaripoti shule kuanza masomo ya kidato cha...
MBUNGE ANNE KILANGO ACHAGIA MIL. 20 UJENZI WA SHULE YA MSINGI MTUNDU
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro
Mbunge wa Jimbo la Same Mashariki Mhe. Anne Kilango amechangia kiasi shilingi Milioni 20 kwa ajili ya ujenzi wa shule...
ASILIMIA 60 YA WANANCHI WAPATA HUDUMA ZA AFYA NDANI YA KM 5 MWAKA 2023
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Wizara ya Afya katika Kipindi cha mwaka 2023 imejitahidi kwa kusogeza huduma kwa wananchi kwani asilimia 60 ya wananchi wanapata...