TPA YAVUKA LENGO WALILOJIWEKEA KATIKA KIPINDI CHA MIEZI 6 YAVUNJA REKODI
Na Magrethy Katengu
BANDARI ya Dar es Salaam katika kipindi cha mwezi Julai hadi Desemba 2023 imefanikiwa kufanya huduma zaidi ya malengo yake ambapo imehudumia...
MUWASA YAAGIZA MABOMBA KUKAMILISHA USAMBAZAJI MAJI JIMBO LA MUSOMA MJINI
Na Shomari Binda-Musoma
MAMLAKA ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Musoma (MUWASA) imeagiza mabomba kukamilisha usambazaji maji kwa asilimia 100 jimbo LA Musoma mjini.
Kauli...
SERIKALI YATAMBUA UMUHIMU WA WANANCHI WAKE KUTOA MAONI MASUALA YA KITAIFA
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema inatambua umuhimu wa wananchi kushiriki katika maamuzi yanayohusu masuala...
TANZANIA YAJA NA MKAKATI WA KUWA KITOVU CHA UONGEZAJI THAMANI MADINI KWA NCHI ZA...
Waziri wa Madini Mh. Anthony Mavunde amesema Tanzania imedhamiria kuwa kitovu cha uchenjuaji na uongezeaji thamani madini kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati...
TIGO ZANTEL WADHAMINI MAONESHO YA 10 YA BIASHARA ZANZIBAR
Mkurugenzi wa kanda Tigo Zantel, Aziz Said Ali, akimuelezea Mfanyabiashara wa Mwani, Bwn. Jaha Haji Khamis kuhusu huduma ya Mjasiriamali box katika maonesho ya...
TANZANIA INAENDA SAMBAMBA NA MAPINDUZI YA NNE MAENDELEO YA VIWANDA
Mradi wa Kongani ya kisasa ya viwanda Modern Industrial Park ,Disunyara ,Mlandizi Kibaha, Mkoani Pwani (KAMAKA) inayojenga viwanda 202 katika eneo la ukubwa wa...
RAIS SAMIA ARIDHIA UTEKELEZAJI MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA KUFIKISHWA WILAYANI USHETU
Na Mathias Canal, Ushetu-Kahama
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia kuanza kwa utekelezaji wa kufikisha mradi wa maji...
SERIKALI: USHIRIKIANO MZURI NA JAPANI UMELETA TIJA UWEKEZAJI KATIKA MIUNDOMBINU
Na Magrethy Katengu
Serikali kupitia wizara ya Uchukuzi imesema itaendelea kujenga mashirikiao mazuri na Serikali ya Japani ili waendelee kuwekeza katika ujenzi wa miundombinu ikiwemo...