RAIS DKT.MWINYI ASEMA ELIMU NI KIPAUMBELE NAMBA MOJA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeweka kipaumbele namba moja katika sekta ya elimu imeongeza bajeti...
UONGOZI WA MTAA WA NHC RWAMISHE WA APA KUVITOKOMEZA VITENDO VYA WIZI VINAVYOWAKABILI WANANCHI.
Na Theophilida Felician Kagera.
Kamati ya uongozi wa mtaa wa NHC Kata ya Rwamishenye Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera umewahakikishia wananchi kuzitumia mbinu mbalimbali ili...
RC MTANDA ATOA HAMASA YA MILIONI 2 KWA WACHEZAJI BIASHARA UNITED WAKIIFUNGA MBUNI FC...
-AWAITA WANACHAMA NA WADAU KUONGEZA HAMASA
Na Shomari Binda-Musoma
MKUU wa mkoa wa Mara Said Mtanda ameahidi kutoa kiasi cha shilingi milioni 2 kama hamasa kwa...
SHERIA MPYA YA UWEKEZAJI ZANZIBAR NI BORA AFRIKA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema sheria mpya ya uwekezaji ya mwaka 2023 itakuwa bora Afrika ambayo...
DKT. BITEKO AITAKA JUMUIYA YA WAZAZI KUTUMIA RASILIMALI ZILIZOPO KUKIJENGA CHAMA.
📌Akabidhi Pikipiki na kofia ngumu Jumuiya ya Wazazi (CCM) Zanzibar
📌Awataka kutumia pikipiki hizo kuieneza CCM
📌Azuru Kaburi la Hayati Abeid Amani Karume
Naibu Waziri Mkuu na...