MAJALIWA: TUENDELEE KUPINGA UKATILI KWA WATOTO
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa wito kwa jamii kuwa iendelee kuunga mkono Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu...
ORODHA YA WATEJA WA TIGO WALIOUANZA MWAKA VIZURI KWA KUSHINDA MAMILIONI YA FEDHA, MAGIFTI...
Semaji la Kampeni ya Magifti Dabo dabo, Haji Manara (kushoto) akimkabidhi mfano wa hundi mshindi wa shilingili milioni tano, Kiungi Juma.
Kampeni ya Magifti Dabodabo...
JESHI LA POLISI KUSHIRIKIANA NA TBS KATIKA UKAGUZI WA MAGARI
Na Mwandishi Wetu.
SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS) limesaini Hati ya Makubaliano (MoU) na Jeshi la Polisi ili kushirikiana katika ukaguzi wa Vyombo Vya Moto...
BANDARI YA DAR ES SALAAM SASA KUPOKEA MELI KUBWA ZAIDI
Maboresho makubwa ya miundombinu yaliyofanyika katika Bandari ya Dar es Salaam, yameiwezesha bandari hiyo kuwa na uwezo wa kuhudumia meli kubwa na za kisasa...
Katika Kuongeza Ushiriki wa Watanzania kwenye Uchumi wa Madini; WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MAMBO MUHIMU KUFIKIA...
Aidha, amesema kuwa Wizara ya Madini kupitia Vision 2030 ya Madini ni Maisha na Utajiri inatarajia kufanya utafiti wa kina wa madini nchi nzima...
SOMA HAPA JINSI YA KUJISHINDIA ZAWADI ZA MAGIFTI DABO DABO YA TIGO
Januari 4, 2024 Christina Latin Mrua Mkazi wa Salasala Dar Es Salaam amekabidhiwa rasmi zawadi yake ya Vifaa vya nyumbani kutoka HISENSE ambavyo ni...
“MTOTO ATAKAE CHELEWA KUFIKA SHULE KWA WAKATI KULIMA MATUTA KUMI (10)” RC ROSEMARY SENYAMULE.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Rosemary Senyamule amesema mtoto atakaye chelewa kuanza Masomo kwa wakati atalima matuta kumi.
hayo yamesemwa jana tarehe 04 Januari...