KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA UTAWALA, KATIBA NA SHERIA IMEANZA VIKAO
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria imeanza Vikao vyake leo tarehe 03 Januari 2024.
Aidha Kamati hiyo pamoja na mambo...
SMZ IMEJENGA SKULI ZA GHOROFA MIJINI NA VIJIJINI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imejenga Skuli za kisasa za ghorofa Mijini, Vijijini pamoja na...
MBUNGE MATHAYO AHAIDI UMEME WA ELFU 27 KWA WANANCHI MTAA WA BWERI BUKOBA
Na Shomari Binda-Musoma
MBUNGE wa jimbo la Musoma mjini Vedastus Mathayo amewahakikishia wananchi wa mtaa wa Bweri Bukoba kupata umeme wa gharama nafuu.
Amesema umeme huo...
MKUTANO HUU USIWE WA MAPAMBIO NA KUGEUZA KUWA MUHURI WA KUWASILISHA MAWAZO YA WATU...
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman, amefungua Mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa unaoshirikisha wadau wa Demokrasia ya...
SERIKALI YASAINI MIKATABA 6 YA UWEKEZAJI MAHIRI WA WANYAMAPORI YENYE THAMANI YA DOLA ZA...
Na Magrethy Katengu
Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) wametiliana saini ya mikataba sita ya uwekezaji katika Maeneo...
DIWANI KATA YA MSHEWA AMEISHUKURU SERIKALI KUWAJENGA MABWENI MAWILI KATIKA SHULE YA SEKONDARY KWIZU
Mheshimiwa Diwani wa kata ya Mshewa Gaitan Mkwizu amesema wanafunzi wanaosoma katika Shule ya Sekondari Kwizu kata ya Mshewa Wilayani Same Mkoani Kilimanjaro wameondokana...