RAIS DKT.MWINYI AMEHANI FAMILIA YA SHOMARI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amehani familia ya Marehemu Shomari Khamis Shomari...
RAIS DKT.MWINYI AWASILI PEMBA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Pemba kwa ziara ya kikazi ataweka...
CCM HATUNA SABABU YA KUTOMPA RAIS SAMIA AWAMU YA PILI-KINANA
*Ni baada ya Waziri Mkuu kuomba fomu ya urais iwe moja ya Dk Samia 2025.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulurhman...
RAMLI CHONGANISHI IKOMESHWE
Na Neema Kandoro Mwanza
ZAIDI ya waganga wa tiba asili 450 Mkoani Mwanza wametaka kuwepo na njia madhubuti kuzuia waganga wanao piga ramli chonganishi ambazo...