Saturday, September 14, 2024
Home 2024 January

Monthly Archives: January 2024

VILABU SABA KUTOKA MASHIRIKISHO YA USALAMA BARABARANI KIMATAIFA VYASHIRIKI MAFUNZO YA USALAMA BARABARANI

0
TAKRIBANI Nchi 07 za Afrika za hudhuria Mafunzo ya Usalama Barabarani yaliyoandaliwa na Shirikisho la Kimataifa Usalama Barabarani (ACTA) kwa siku 3 yenye lengo...

HII HAPA FURSA KWA WAKULIMA NCHINI , MKATABA HUU WA TCDC NA TIGO PESA.

0
Afisa Mkuu wa Tigo Pesa, Angelica Pesha (Kushoto) akiwa  na Mrajisi wa Chama cha Ushirika na Mkurugenzi Mtendaji wa TCDC, Dk. Benson Ndiege kuonyesha...

WASANII KUTOKA MATAIFA 8 KULIPAMBA TAMASHA LA PASAKA

0
Kuelekea Tamasha la Pasaka mwaka 2024 Alex Msama Mkurugenzi wa kampuni ya Msama Promotion waandaaji wa Tamasha hilo amethibitisha waimbaji wa muziki wa injili...

“OBAMA” ASISITIZA UMUHIMU WA UHIFADHI WA MAZINGIRA KWA KUPANDA NA KUTUNZA MITI

0
Na Shomari Binda-Butiama MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi Wilaya ya Butiama Baraka Imanyi maarufu "Obama" amesema kuna umuhimu mkubwa kupanda na kutunza miti kwa uhifadhi...

UTUNZAJI KUMBUKUMBU KURAHISISHA MALIPO YA BIMA

0
Na. Khadija Ibrahim, WF, Dodoma Serikali imewataka wananchi kutunza kumbukumbu na nyaraka muhimu za rejea ili kuondoa usumbufu na kurahisisha zoezi la ulipaji fidia hususan...

AUA MTOTO WA MIEZI 3 KWA KUMCHOMA KISU,NAE AUWAWA NA WANANCHI WENYE HASIRA KALI

0
-AMCHOMA PIA MAMA NA BIBI WA MTOTO Na Shomari Binda-Musoma MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Omary Muha mkazi wa Kijiji cha Busekera Musoma vijijini amemua...

WATUMIAJI WA BARABARA WASHAURIWA KUTOTUMIA VIVUKO VILIVYOZUILIWA

0
Watumiaji wa barabara mkoani Dar es Salaam wameshauriwa kutotumia barabara au vivuko ambavyo vimewekwa vizuizi katika kipindi hiki ambacho mvua zinaendelea kunyesha nchini. Wito huo...

LIONS CLUB IMETOA MSAADA WA MATANKI YA MAJI KWA SHULE ZA KATA

0
TAASISI ya Lions Club imetoa msaada wa matanki nane ya kuhifadhia maji kwa ajili ya shule za Kata ya Vigwaza Halmashauri ya Chalinze. Akisoma taarifa...

Afrika Tumieni vema Fursa za soko la AfCFTA

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt Ashatu Kijaji (Mb.) na Mwenyekiti wa Mkutano wa 13 wa Mawaziri wa Biashara Mkataba wa Eneo Huru...

VITABU VINAVYOELEZEA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI YA CCM VYAENDELEA KUSAMBAZWA

0
Na Shomari Binda-Musoma VITABU vinavyoelezea utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi kwenye jimbo la Musoma vijijini vimeendelea kusambazwa ili kusoma utekelezaji uliofanyika. Vitabu...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma January 2024,
Karibu Tukuhudumie..