Monday, December 23, 2024
Home 2023

Yearly Archives: 2023

MOJA YA HAKI ZA MWANACHAMA WA CHAMA CHA MAPINDUZI NI KUCHAGUA NA KUCHAGULIWA

0
Katibu wa NEC Idara ya Organaizesheni Bw. Issa Gavu amewakumbusha wajibu wao kama Baraza la wazee wa CCM ni kushauri na kutengeneza njia sahihi...

NYAKATO SOKONI YAIPIGISHA KWATA FFU MARA FAINALI BONANZA LA MAHUSIANO

0
Na Mwandishi wetu-Musoma TIMU ya Nyakato sokoni imeipigisha kwata timu ya maafande wa FFU Mara katika mchezo wa fainali wa bonanza la mahusiano na kutwaa...

KINANA AZIHIMIZA TAASISI ZA KIJAMII KUJIKITA KATIKA UFUNDI, UJASIRIAMALI.

0
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amezihimiza taasisi za kijamii kuweka mkazo katika elimu ya ufundi na ujasiriamali, ili...

LATRA YAWATAKA MAWAKALA KUANDIKA TAARIFA KAMILI ZA ABIRIA ILI WANANCHI WAPATE HAKI ZAO INAPOTOKEA...

0
Na Abel Paul, Jeshi la Polisi-Arusha. Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) na Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kwa pamoja wamesema serikali itaendelea...

SERIKALI KUENDELEA KULINDA VIWANDA NCHINI

0
Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Ashatu Kijaji Mb), amesema Dhamira ya Serikali ni kuhakikisha viwanda vya wawekezaji wa ndani na nje vinalindwa ili...

TGNP YATOA MAFUNZO YA UFEMINIA NGAZI YA JAMII VITUO VYA TAARIFA NA MAARIFA WILAYA...

0
Na Ashrack Miraji Same kilimanjaro Mwezeshaji ngazi ya jamii kutoka TGNP Stella John Amesema mafunzo hayo yanayotolewa kwa vituo vya taarifa na Maarifa yanalenga kutoa...

MUHONGO AONGOZA HARAMBEE UJENZI WA MAABARA SEKONDARI YA ETARO

0
-ACHANGIA MIFUKO 100 YA SARUJI BATI 100 -ASHUHUDIA CHUMBA CHA MAABARA YA KOMPYUTA Na Shomari Binda-Musoma MBUNGE wa jimbo la Musoma vijijini Profesa Sospeter Muhongo ameongoza harsmbee...

PROF. KITILA MKUMBO ATOA ZAWADI YA MWISHO WA MWAKA KWA WAKAZI WA MABIBO

0
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo amesema kivuko cha waenda kwa miguu cha Sahara kilichopo Mabibo Dar...

KIVUKO CHA GONZAGA KUPEWA JINA LA SHIGULA

0
Waziri wa Nchi OR-MU na Mbunge wa Jimbo la Ubungo Prof. Kitila Mkumbo akiwa ziarani katika Kata ya Mabibo amejadiliana na kukubaliana na Viongozi...

DKT. TULIA AWATAKA VIONGOZI MBEYA KUWAELEZA WANANCHI MAKUBWA YALIYOFANYWA NA SERIKALI

0
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Mbeya Mjini Mhe. Dkt. Tulia Ackson, amewataka Viongozi wa ngazi zote katika...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2023,
Karibu Tukuhudumie..