Home 2023
Yearly Archives: 2023
DKT. GWAJIMA AKUTANA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA TCB
Na WMJJWM- Dar Es Salaam
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Dkt. Dorothy Gwajima amekutana na kuzungumza na Mkurugenzi Mtendaji...
UTEKELEZAJI MRADI WA UMEME WA JULIUS NYEREREÂ (JNHPP) WAFIKIA ASILIMIA 94.78
Mashine Mbili za Megawati 47O zimeshafungwa, majaribio yameanza
Ujazo wa maji watosha kuanza kuzalisha umeme
Dkt. Biteko asema kipaumbele ni upatikanaji wa umeme wa uhakika nchini
Naibu...
TAMASHA LA KILIMANJARO CULTURAL FESTIVAL KUKUZA UTALII MKOANI KILIMANJARO
Na Happiness Shayo
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amesema Tamasha la Kilimanjaro Cultural Festival linalohusisha utamaduni wa vyakula ,ngoma na lugha...
KANISA LA NEW LIFE GOSPEL COMMUNITY CHURCH (NLGCC) LAENDESHA IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA...
RC MTANDA ASHIRIKI IBADA MAALUM
Na Shomari Binda-Musoma
KANISA la New Life Gospel Community Church (NLGCC) maarufu kama "Bonde la Baraka' lenye makao makuu mkoani Mara...
RAIS DKT. MWINYI AWAHIMIZA SUZA KUFANYA UTAFITI ZAIDI
Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewahimiza Chuo Kikuu...
RAIS DKT. SAMIA ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UZAMIVU YA USIMAMIZI WA UTALII NA...
AIS
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa Shahada ya Heshima ya Uzamivu...
VIONGOZI WA DINI WAOMBWA KUENDELEA KUDUMISHA USHIRIKIANO KWA VIONGOZI WA CHAMA NA SERIKALI
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Idara ya Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Paul Christian Makonda, amewashukuru na kuwaomba Viongozi wote...
WATU WATATU WA FAMILIA MOJA WAFARIKI KATIKA AJALI YA GARI PWANI.
Watu watatu wamefariki dunia na wengine kujeruhiwa kwenye ajali ya gari iliyohusisha lori na garindogo aina ya toyota alphard iliyotokea katika kijiji cha Mbwembwe...
RAIS DK.MWINYI AZINDUA UWANJA MPYA WA AMAAN COMPLEX.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imedhamiria kujenga uwanja mpya mwingine wa kisasa ambao utatumika katika...
UMOJA WA MABALOZI WA AFRIKA WAKABIDHI MSAADA HANANG
Umoja wa Mabalozi wa nchi za Afrika wanaoziwakilisha nchi zao Tanzania wamekabidhi msaada wa mifuko 1,000 ya saruji kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa...