Thursday, January 9, 2025
Home 2023

Yearly Archives: 2023

RAIS SAMIA APANGUA SAFU; ATEUA NA KUBADILISHA NAFASI ZA VIONGOZI

0
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya Viongozi katika nyadhifa mbalimbali serikalini kama ifauatavyo:-

WANANCHI MKOA WA DODOMA NA MTWARA WAVUTIWA NA HATUA YA SERIKALI YA AWAMU YA...

0
Na.Faustine Gimu  ,Elimu ya Afya,Idara ya Kinga,Wizara ya Afya28, mitambo ya kuzalisha hewa ya Oksijeni 21,kusambaza mashine za X-ray 137 kwenye vituo vya kutolea...

RC SENDIGA : WAHANGA WA  MAAFA MSIUZE VIFAA VYA MSAADA

0
Na. OMM Rukwa Serikali imewataka wananchi kutouza vifaa vya msaada walivyopatiwa na kufuatia maafa ya upepo mkali uliosababisha  nyumba 45 kuezuliwa na baadhi kubomoka katika...

DR JAFO AZIPA JUKUMU KAMATI ZA UJENZI KUMALIZIA MIRADI HARAKA

0
NA MWANDISHI WETU Katika kufikia lengo la maisha Bora Kwa kila mtanzania anapata huduma ya lazima Kama afya , Elimu na Ustawi wa Jamii katika...

WAZIRI MABULA AWEKA WAZI MAFANIKIO NA UTEKELEZAJI WA MASUALA YA SEKTA YA ARDHI NCHINI...

0
Na Magrethy Katengu Waziri wa Nyumba na Maendeleo ya Makazi ya Watu Dkt Angelina Mabula amesema Rais Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameridhia ardhi yenye...

RUWASA SUMBAWANGA YAFIKISHA HUDUMA NGAZI YA JAMII

0
Na.OMM Rukwa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) Wilaya ya Sumbawanga imefanikiwa kuunganisha vyombo vya watoa huduma za maji ngazi za jamii...

MWAKA 2023 VIJANA WASHAURIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZINAZOTOLEWA NA SERIKALI

0
NA MAGRETHY KATENGU Ikiwa Leo Dunia inasherekea mwaka mpya 2023 Vijana wote nchini wameshauriwa kuanza mwaka kwa kishindo kuchangamkia fursa zinazotolewa na Serikali ikiwemo kuomba...

WANANCHI WAOMBWA KUENDELEA KULIOMBEA TAIFA

0
Na Mwandishi wetu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Mhe. George Simbachawene ameomba wananchi kuendelea kuiombea nchi dhidi ya majanga...

WATANZANIA WATAKIWA KUENDELEA KUDUMISHA AMANI HUSUSANI KWA KUTENDA HAKI

0
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philip Mpango pamoja na mkewe Mama Mbonimpaye Mpango leo tarehe 1 Januari 2023 wameungana...

MAJALIWA AWAKUMBUKA MAKATIBU CCM KATA RUANGWA

0
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi ambaye ni Mbunge wa jimbo la Ruangwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa jana Disemba 31, 2022...
1
Scan the code
Mzawa Online
Ahsante kwa kusoma 2023,
Karibu Tukuhudumie..