Home 2023
Yearly Archives: 2023
RAIS DKT. SAMIA ATENGUA NA KUTEUA IKULU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Msuya, aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu Ikulu Januari 3,...
Wilaya ya Magu yavuka lengo Ujenzi wa vyumba vya Madarasa
Bilioni 3.26 zajenga Madarasa 163 wilayani Magu kwa ajili ya kuwapokea wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 na kupelekea wilaya hiyo kuwa na ziada...
VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA WATOA PONGEZI KWA RAIS DKT. SAMIA KUFUNGULIA MIKUTANO YA...
Na Magrethy Katengu
BAADHI ya viongozi wa vyama vya siasa nchini wameshukuru hatua iliyofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan ya kufikia maridhiano na vyama hivyo...
Pochi la Mama kusajili wanafunzi 9226 kidato cha kwanza 2023 Kwimba
Mradi wa Ujenzi wa Madarasa kwa ajili ya mapokezi ya Wanafunzi wa kidato cha kwanza 2023 (Pochi la Mama) wafanikisha kuchaguliwa watoto 9226 kwa...
Boresheni Usimamizi wa Miongozo na Kufufua Kamati za Huduma za Afya Prof. Makubi
Na.WAF,BundaVituo vya Afya na Zahanati nchini vimetakiwa kuboresha usimamizi wa miongozo na kufufua kamati za huduma za afya.
Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu wa Wizara...
MSHINDI WA CHOMOKA NA NDINGA YA PARIMATCH AKABIDHIWA GARI LAKE
Na Magreth Mbinga
Mkazi wa Lindi Hamidu Mohammed Abdallah(28) leo Januari 4 ,2023 amekabidhiwa rasmi gari yake aina ya Toyota Urban Cruiser yenye thamani ya...
RC KATAVI AZISHUKIA KAMPUNI ZA KUSAMBAZA MBOLEA KATAVI
📌📌 AZITAKA KUACHA VISINGIZIO KUSAMBAZA MBOLEA KWA WANANCHI BADALA YA KUFICHA.
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Mhe.Mwanamvua Mrindoko ameziagiza kampuni za usambazaji mbolea ya ruzuku...
WATUMISHI WATAKIWA KUTOA HUDUMA BORA KWA WANANCHI
Naibu Waziri wa Wizara ya Afya amewataka watumishi wote kutoa huduma bora kwa wanachi ili kutimiza adhima ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Mhe....
DKT. BITEKO ASISITIZA WACHIMBAJI KUZINGATIA SHERIA NA MIONGOZO INAYOSIMAMIA SEKTA YA MADINI
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amewasisitiza wachimbaji wa madini nchini kuzingatia Sheria, Kanuni, Taratibu na Miongozo inayosimamia Sekta ya Madini ili wachimbe rasilimali...
JATU YAPOKEA MTAALAM KUTOKA NCHINI UHOLANZI ILI UWEKEZAJI WA KILIMO UONGEZEKE
NA Magrethy KatenguUONGOZI wa Jatu ukishirikiana na Bodi ya Wakurugenzi ya JATU PLC umepokea ugeni wa mtaalamu wa masuala ya fedha, miradi na bishara...